Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema, akipiga kasia kukata maji ili kufika safari yake kutoka Kigamboni kuelekea Kivukoni kwa kutumia Kivuko alichojitengenezea kwa kutumia Viroba alivyojaza chupa tupu za maji na kuunganisha viroba viwili ili kupata siti murua ili kuketi kwa nafasi katika safari yake hiyo, kama alivyonaswa na Kamera yetu hivi karibuni.
Je wewe waweza kuthubutu kusafiri majini kwa kutumia njia hii?????, mdogo mdogo safari inakatika. Picha na Bin Zubeiry