*OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAFUNGA MAFUNZO YA ZOEZI LA UORODHESHAJI WA...
Mkurugenzi wa Utawala na Masoko kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Stanley Mahembe akiwatambulisha wageni walioketi meza kuu (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya Zoezi la Uorodheshaji wa...
View Article*WACHEZAJI WA NGORONGORO HEROES WAAHIDI USHINDI
Nahodha wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes), Aishi Manula amesema wamejipanga kwa ajili ya kupata ushindi kwenye mechi dhidi ya Kenya itakayochezwa Jumapili...
View Article*TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YAANZA NA SARE YA 2-2 NA BURUNDI KOMBE...
Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania kutoka Kituo cha Mwanza inaendelea vizuri katika mashindano ya Kombe la Dunia kwa Watoto wa Mitaani yanayoendelea Rio de Janeiro nchini Brazil ambapo katika mchezo...
View Article*WATANZANIA TAKRIBANI MILIONI 3.3 HUTUMIA HUDUMA ZA KIBENKI :GAVANA BEN
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao...
View Article*OSIEA YATOA WITO KUWA NA VYOMBO HURU VYA HABARI JIJINI DAR
Meneja Mradi wa Asasi ya Kijamii ya The Open Society Initiative For Eastern African Tanzania (OSIEA), Agnes Hanti akiongea wakati wa mafunzo kwa wadau wa Habari nchini juu ya changamoto zinazowakabili...
View Article*ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE KUFIKIA UCHAGUZI WAPINZANI WENGI WAZIDI...
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea kadi za Chama cha CUF kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Kata ya Msata,Idd Njema ambaye...
View Article*TIMU YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KUANZA...
Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya...
View Article*JERRY SILAA AKABIDHI MADAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI YA MANISPAA YA ILALA
Wanafunzi wa Shule ya sekondari Pugu wakionyesha nyuso za furaha isiyo na kifani walipokabidhiwa madawati 107 na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa.Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pugu,...
View Article*ZIARA YA KINANA KATIKA WILAYA MPYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA
Kijana Ramadhani Ali wa Kijiji cha Kasanga kilichopo mwambao wa ziwa Tanganyika katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa akitoka ziwani na samaki wake aina ya migebuka. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman...
View Article*TBL YAKABIDHI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MVUTI DAR
Mkuu wa Mahusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Stephen Kilindo (kulia) na Afisa Uhusiano wa Kampuni hiyo, Bi. Doris Malulu, wakimuongoza Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,...
View Article*UBUNIFU NA KIPAJI NI SAWA LAKINI KWA UBUNIFU HUU MMMMHHHHH!!!!!! HATAREEEEEEEE
Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema, akipiga kasia kukata maji ili kufika safari yake kutoka Kigamboni kuelekea Kivukoni kwa kutumia Kivuko alichojitengenezea kwa kutumia Viroba...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHIWA CHETI CHA ULEZI WA HIYARI WA CHAMA CHA WENZA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea cheti maalum cha ulezi wa heshima wa Chama cha wenza wa mabalozi wa nchi za Afrika walioko nchini Ubelgiji (Honory Patronese of the Association of the Spouses...
View Article*UMUHIMU WA APRM KATIKA KUIMARISHA UTAWALA BORA NA UCHUMI TANZANIA
Viongozi wa Nchi za Kiafrika katika Makao Makuu ya AU. Jumla ya nchi 34 kati ya 54 wanachama hai wa AU ni wanachama Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM).Katibu Mtendaji wa APRM, Bibi...
View Article*WINNERS OF MEDIA AWARDS ON ELECTRICAL COUNTERFEITING IN AFRICA ANNOUNCED
PRESS RELEASE *Both winners will be invited to France to receive their prizesPARIS, France, April 3, 2014/ -- Schneider Electric (http://www.schneider-electric.com), the global specialist in energy...
View Article*MeTL YASHINDA TUZO 3 ZA RAIS ZA WATENGENEZAJI BIDHAA KWA MWAKA 2013
Na. Mwandishi wetu.Makampuni matatu makubwa yaliyo ndani ya MeTL Group hivi majuzi yamefanikiwa kutwaa tuzo za Rais za Watengenezaji Bidhaa kwa mwaka 2013.Makampuni hayo ni: East Coast Oils & Fats...
View Article*MATUKIO YA JIJINI DAR KATIKA PICHA MCHANA HUU
Magari yakiwa yamekwama katika foleni eneo la Daraja la Bondeni Kawe kuelekea Tangbovu kutokana na ujenzi wa Daraja hilo unaoendelea. Muonekano wa foleni hiyo, ambapo baadhi ya madereva walilazimika...
View Article*MWENYEKITI WA KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA SAMUEL SITTA, AFANYA ZIARA...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta (katikati) akizungumza na wajumbe wa Kamati namba mbili(2) jana mjini Dodoma alipotembelea Kamati hiyo kujionea maendeleo katika uchambuzi wa sura...
View Article*MAAFISA TUME WAFUNZWA STADI ZA UCHUNGUZI
Mkurugenzi wa Idara ya Haki za Binadamu, Bwana Francis Nzuki akifungua rasmi mafunzo ya stadi za uchunguzi yanayofanyika katika hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Mafunzo hayo ya wiki moja yalianza...
View Article*TCRA YAZUNGUMZIA FAIDA ZA MTAMBO MAALUM WA KUSIMAMIA MAWASILIANO NA UDHIBITI...
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Innocent Mungy akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu faida za Mtambo Maalum wa Kusimamia...
View Article*WIZARA YA KAZI YATOA RIPOTI YA SERIKALI KUHUSU UENDESHAJI WA WAKALA BINAFSI...
Afisa Kazi wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Themistocles Rumboyo akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa hadi kufikia Februari mwaka huu jumla ya maombi 56 ya makampuni ya huduma za...
View Article