Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MATUKIO YA JIJINI DAR KATIKA PICHA MCHANA HUU

$
0
0
 Magari yakiwa yamekwama katika foleni eneo la Daraja la Bondeni Kawe kuelekea Tangbovu kutokana na ujenzi wa Daraja hilo unaoendelea.
 Muonekano wa foleni hiyo, ambapo baadhi ya madereva walilazimika kushuka katika magari yao na kusubiri muafaka wa foleni wakiwa nje ya magari yao.
 Foleni kubwa.
 Hapa madereva wa daladala wakitamani kupaa kwa haraka zao.....
 Dereva wa pikipiki akishangaa baada ya kula mweleka eneo la Mwananyamala Sokoni..
 Mfanyabiashara wa barabarani akipokea hela baada ya kumuuzia bidhaa mmoja kati ya madereva waliokwama kwenye foleni eneo la Kamata, jijini Dar.
Ombaomba, akijaribu bahati yake katika gari hilo hilo lililotoa pesa kununua bidhaa.
Mwendesha baiskeli, akijaribu kuwahi kuinua usafiri wake asigongwe, baada ya kupiga mweleka eneo la Mwananyama.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>