*BARAZA LA MADIWANI LA MJI KOROGWE LAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MPANGO
Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani katika kupitisha sheria...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Jiji la London Mstahiki Alderman Fiona Woolf alipomtembelea ofisini kwake Mansion House jijini London Machi 31, 2014.Rais Dkt Jakaya Mrisho...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL APANDA MTI KUADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal, akipanda mti wa Mwembe nje ya Ofisi yake mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO, NGORONGORO HEROES KWENDA NAIROBI APRILI 3
Kikosi cha watu 27 wakiwemo wachezaji na benchi la ufundi cha timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) kinatarajia kuondoka keshokutwa (Aprili 3 mwaka huu) kwenda...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Mkutubi wa Jiji, Lusekelo Mwalugelo, Gazeti la Mambo Leo la Mwaka 1923 ambalo ni moja kati ya magazeti ya...
View Article*MKUU WA MKOA WA GEITA AZINDUA MCHAKATO WA UANZISHWAJI WA MFUKO WA AFYA YA...
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Magalula Said Magalula akifungua mkutano wa wadau mkoani Geita unatakaojadili mchakato wa uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii ujulikanao kama Tiba kwa Kadi (TIKA).Katibu Tawala...
View Article*RIDHIWANI KUANZA NA BARABARA KISHA ELIMU NA AFYA TOKAMISASA
Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha tatizo la wakulima na wafugaji kwa kuweka mpango...
View Article*MANCHESTER UNITED HOLD BAYERN MUNICH, KEEP UEFA CHAMPIONS LEAGUE HOPES ALIVE
Getty ImagesManchester United battled to a 1-1 draw against Bayern Munich in the UEFA Champions League quarterfinal on Tuesday at Old Trafford.United went ahead midway through the second half, as...
View Article*KAMATI ZA BUNGE LA BUNGE MAALUM LA KATIBA LAANZA KAZI VIZURI
Mwenyekiti wa Kamati namba tano(5) ya Bunge Maalum la Katiba Hamad Rashid Mohamed (katikati) akiongoza mjadala wa Kamati hiyo leo mjini Dodoma wakati wanapitia vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba...
View Article*WANAWAKE MAKACHERO WA KAGAME WANASWA DODOMA
Mashushushu wanawake wanne raia wa Rwanda wanaoaminika kutumwa na Rais Paul Kagame wamekamatwa mjini Dodoma. Wanawake hao Wamekamatwa wakiwa wameshajenga uhusiano wa karibu na baadhi ya viongozi...
View Article*WORLD BANK SUPPORTS TANZANIA'S EFFORTS TO STRENGTHEN THE BUSINESS CLIMATE...
NEWS RELEASE WB Supports Tanzania’s Efforts to Strengthen the Business Climate and Make the Power Sector Financially Sustainable WASHINGTON,...
View Article*KHAMIS MKOTYA WA MTANZANIA JUMAPILI AZNDUA KATIBA YA CHAMA CHA WATU WA MRIJO
Mhariri wa Gazeti la Mtanzania Jumamosi, Khamis Mkotya, mwenye shati la Kitenge, akishiriki kikamilifu kuzindua Katiba ya Chama Cha Watu Mrijo wilayanai Chemba, mkoani Dodoma, wanaoishi jijini Dar es...
View Article*TAARIFA KWA UMMA, MWELEKEO WA KIMBUNGA 'HELLEN' NA HALI YA HEWA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UCHUKUZIMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIASimu: 255 22 2460735/2460706-8Faksi: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056Barua pepe: met@meteo.go.tzDAR ES SALAAM...
View Article*MTANANGE WA TSN v/s MLIMANI TV, TSN WATINGA HATUA YA PILI, MLIMANI TV 'OUT'...
Mchezaji wa TSN, Abubakar Kombo (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa Mlimani Tv, wakati wa mchezo wa Kombe la NSSF kwa Vyombo vya habari uliochezwa jana jioni kwenye uwanja wa TCC Chang'ombe....
View Article*KINANA AFIKA MAENEO YA PEMBEZONI NKASI, AKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA UBOVU WA...
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana jana, aliendelea na ziara yake katika mkoa wa Rukwa, kwa kutembelea wananchiwalioko pembezoni mwa mkoa huo, ambapo alifika hadi katika Kata ya Wampembe iliyopo...
View Article*NAPE: CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo...
View Article*MPINZANI WA MIYEYUSHO KUTUA NCHINI KESHO ASIBUHI KUZIPIGA PTA JUMAMOSI
BONDIA Ronald Pontillas, atawasili nchini kesho asubuhi kwa ajili ya pambano lake la kimataifa dhidi ya bondia Francis Miyeyusho, litakalofanyika Jumamosi kwenye Ukumbi wa PTA, Dar es...
View Article