Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*KHAMIS MKOTYA WA MTANZANIA JUMAPILI AZNDUA KATIBA YA CHAMA CHA WATU WA MRIJO

$
0
0
Mhariri wa Gazeti la Mtanzania Jumamosi, Khamis Mkotya, mwenye shati la Kitenge, akishiriki kikamilifu kuzindua Katiba ya Chama Cha Watu Mrijo wilayanai Chemba, mkoani Dodoma, wanaoishi jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu wa Chama hicho, Yasin Kimwaga. 
 Mhariri wa Gazeti la Mtanzania Jumamosi, Khamis Mkotya, (katikati) akizindua Katiba ya Chama Cha Watu Mrijo wilayani Chemba mkoa wa Dodoma, wanaoishi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Chama hicho Yasin Kimwaga na (kulia) ni Shaaban Ng’oka.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Khamis Mkotya, alisema kuwa Katiba hiyo ni kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Chemba. 
''Tunahitaji maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na kwa wale wanaoungana kama watu wa Mrijo''. alisema Mkotya alipokuwa akizungumza na Watu wa Mrijo Wilaya ya Chemba wanaoishi Dar es Salaam juzi, akiwa kama mgeni rasmi. 
Khamis Mkotya katikati akizungumza katika uzinduzi wa Katiba hiyo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Chemba.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>