Beki wa Yanga, Juma Abdul, akiruka kwanja la beki wa JKT Ruvu, wakati wa kipindi cha kwanza cha mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga inaongoza mabao 3-0, huku mabao mawili yakifungwa na Mrisho Ngassa na la tatu likifungwa na Didier Kavumbagu. Kipindi cha pili kinaweza kuanza muda wowote kuanzia sasa.
↧