*RIDHIWANI ALIPORINDIMA PERA
Mke wa Ridhiwani Kikwete ,Arafa akimuombea kura mumewe kwa wananchi wa kata ya Pera Mwigulu Nchemba akimnadi mgombea wa ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete. Ridhiwani Kikwete...
View Article*VIJANA WA MWANZA WAFURIKA KWA WINGI KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA...
Msanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) akikumbatiana na Mmoja wa Mashabiki wa Filamu zake katika Eneo la Nyegezi Mwanza Jioni ya Leo wakati wasanii wa filamu Tanzania walipotembelea eneo...
View Article*RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI BAADA YA ZIARA YA UINGEREZA NA UBELGIJI
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki baada ya kuwasili jana April 4, 2014 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea...
View Article*MICHANGO YA KUMSAFIRISHA MIKE LUKINDO IMESHINDIKANA IMEBIDI ACHOMWE MOTO...
Mike Lukindo enzi ya uhai wake.Watanzania wa Wisconsin wanapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Mike Lukindo na pamoja na jitihada zote...
View Article*MAMIA WA WAJITOKEZA KATIKA USAILI WA SHINDANO LA KUONYESHA VIPAJI VYA...
Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa. Mafundi Mitambo...
View Article*TAIFA STARS KUKIPIGA NA BURUNDI APRILI 26
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itacheza mechi ya kirafiki na Burundi (Intamba Mu Rugamba) Aprili 26 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na...
View Article*TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATINGA HATUA YA NUSU FAINALI...
Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imefanikiwa kuingia nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia yanayofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil baada ya jana kuifunga Indonesia kwa jumla ya mabao...
View Article*KUELEKEA KUMBUKUMBU YA 'KARUME DAY' TUJIKUMBUSHE NA KILE KILICHOTOKEA...
Miaka 42 iliyopita, Aprili 7, 1972; Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA MJINI UNGUJA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi, Wapenzi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Mkoa mjini kwenye...
View Article*MUJUBI MWAKAJANGA ALIPOZUNGUMZA NA WANAHABARI JANA
Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Kajubi Mukajanga akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma(kushoto), na kulia ni Afisa...
View Article*KINANA ALIPOWAHUTUBIA MAMIA SUMBAWANGA MJINI JANA JIONI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Aprili 5, 2014, katika bustani ya Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, mwishoni mwa...
View Article*HABARI KUTOKA TFF:- STAND YASHINDA MALALAMIKO DHIDI YA JKT KANEMBWA
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekubali malalamiko ya Stand United dhidi ya JKT Kanembwa kulalamikia timu hiyo kuchezesha wachezaji waliosajiliwa dirisha dogo kwenye...
View Article*KUTOKA UWANJA WA TAIFA, YANGA INAONGOZA MABAO 3-0 DHIDI YA JKT RUVU
Beki wa Yanga, Juma Abdul, akiruka kwanja la beki wa JKT Ruvu, wakati wa kipindi cha kwanza cha mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika...
View Article*SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA TANZANIA LAENDELEA VIZURI, WENGI...
Vijana waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la kusaka vipaji vya Kuigiza wakiingia katika eneo la Ukumbi wa Isamilo lodge tayari kwa kuanza kuonyesha Vipaji vyaoBaadhi ya vijana wakijaza fomu...
View Article*TPA YATOA MSAADA WA MADAWATI 110 SHULE YA MSINGI MAHUMBIKA MKOANI LINDI
Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa hafla ya...
View Article*MATUKIO YA ZOEZI LA UPIGAJI KURA JIMBO LA CHALINZE LEO, RAIS JAKAYA NA MAMA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupia kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati...
View Article*YANGA INAONGOZA MABAO 5-0 NI KIPINDI CHA PILI
Beki wa JKT Ruvu, akimuweka chini mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, wakati akielekeza hatari langoni mwao, hivi sasa Yanga inaongoza mabao 5-0 bao la nne limefungwa na Mrisho Ngassa na la tano...
View Article*BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA...
Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika) akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo ambayo itamuwezesha mtanzania yeyote kuweza kupimamacho...
View Article*RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MEJA...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na maendeleo ya Jeshi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi...
View Article