Kutoka uwanja wa Mabatini Mlandizi, Azam Fc inaongoza mabao 3-0, bao la kwanza limefungwa na Gaudence Mwaikimba, katika dakika ya 8, la pili limefungwa Himid Mao, dakika ya 37 na la tatu limefungwa na Kipre Tchetche, dakika ya 46. Sasa ni kipindi cha pili
↧