Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiwaonyesha waandishi wa Habari(Hawapo pichani) vipima mwendo vya magari, Kushoto ni Kipima mwendo cha kisasa kinachotumiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAMA YAZUNGUMZIA MAHUSIANO MEMA KATI YAO NA JAMHURI YA WATU WA CHINA

 Mkurugenzi wa Uboreshaji Afya Wama ,Dkt.Sarah Maongezi (Kulia) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu ushirikiano uliopo  baina ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo pamoja na...

View Article


*KUTOKA UWANJA WA MABATINI MLANDIZI AZAM FC INAONGOZA MABAO 3-0 NI KIPINDI...

Kutoka uwanja wa Mabatini Mlandizi, Azam Fc inaongoza mabao 3-0, bao la kwanza limefungwa na Gaudence Mwaikimba, katika dakika ya 8, la pili limefungwa Himid Mao, dakika ya 37 na la tatu limefungwa na...

View Article

*AZAM FC WAWAADHIBU MAAFANDE WA RUVU SHOOTING 3-0 KESHO KUELEKEA MBEYA...

Baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting, katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mlandizi Mabatini, Timu ya Azam fc inatarajia kuanza safari ya kuelekea jihini Mbeya kesho kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA SAMUEL SITTA ASEMA MJADALA UTAANZA...

Na Magreth Kinabo –Dodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amesema mjadala kuhusu  taarifa za sura ya kwanza na ya sita ya Rasimu  ya  Katiba  ya Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TIMU YA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA LA TANZANIA MOVIE TALENTS...

Hatimaye kikosi kazi cha Proin Promotions Limited kimeshawasili mkoani Dodoma tayari kwa Kazi ya Kusaka vipaji vya kuigiza Katika Kanda ya Kati ambayo inawakilishwa na Mkoa wa Dodoma. Shindano hili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH AWASILI JIJINI KUMKABILI...

 BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTHBONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH KUSHOTO AKIPOKEWA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JANA (KATIKATI) NI RAJABU MHAMILA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DAKIKA 20 ZILIZOMPA MASWALI NA MAJIBU KINANA ALIPOTEMBELEA MPAKA WA TANZANIA...

Asimama kwa dakika 20 kuangalia shughuli za kila siku mpakani mwa Tanzania na Burundi, ajiuliza maswali mengi na kupata majibu, atoa ushauri kwa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe.Ajionea maisha halisi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AMREF HEALTH AFRICA LAUNCH ITS NEW IDENTITY

Country Director, AMREF, Dr. Festus Illako cutting the ribbon during the AMREF Health Africa launch new identity. The frame Ceremony held yesterday April 10, 2014 AMREF office in Dar es Salaam,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZIRI MEMBE AKUTANA NA GAVANA WA JIMBO LA MARYLAND, MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Maryland la nchini Marekani, Mhe. Martin O'Malley walipokutana jijini Washington D.C...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZIRI MEMBE AKUTANA NA GAVANA WA JIMBO LA MARYLAND, MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Maryland la nchini Marekani, Mhe. Martin O'Malley walipokutana jijini Washington D.C...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZIRI MEMBE AKUTANA NA GAVANA WA JIMBO LA MARYLAND, MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Maryland la nchini Marekani, Mhe. Martin O'Malley walipokutana jijini Washington D.C...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AMALIZA ZIARA YA WILAYA YA BUHIGWE, AKAGUA MIPAKA YA TANZANIA NA...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia mto Malagalasi ambao ni mpaka kati ya Tanzania na Burundi alipokuwa katika ziara wilayani Buhigwe mkoani Kigoma leo Alhamisi, Aprili 10, 2014. Kinana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMAZI ZA BUNGE MAALUM ZAWASILISHA MAONI YA SURA YA KWANZA NA SITA YA RASIMU...

 Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba kumi (10) Salmin Awadh Salmin, akiwasilisha uchambuzi wa Kamati yake wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya jana mjini Dodoma. Msemaji wa walio wachache...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI IDDI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI YA KUU YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA...

 Mwenyekiti mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikiendesha Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana katika Ukumbi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CHACHA KUCHEZESHA MICHUANO YA AYG

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua mwamuzi msaidizi wa Tanzania anayetambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Ferdinand Chacha ameteuliwa kuchezesha michezo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SIMBA, ASHANTI UTD KUVAANA UWANJA WA TAIFA DAR KESHOKUTWA JUMAPILI

Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea kesho (Aprili 12 mwaka huu)  katika raundi ya 25 ambapo Simba na Ashanti United zitapambana Uwanja wa Taifa, Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TIMU YA WATOTO WA MITAANI YATAMBULISHWA BUNGENI, YAALIKWA CHAKULA CHA MCHANA...

 Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania iliyotwaa ubingwa wa Dunia wa Watoto wa Mitaani nchini Brazil baada ya kuifunga Burundi mabao 3-1 kwenye fainali,  imetambulishwa leo (Aprili 11 mwaka huu) katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WANANCHI WASISITIZWA KUWEKEZA KATIKA MIRADI YA GESI NCHINI.

 Mwandishi wa kitabu kinachoelezea namna watanzania na makampuni ya usambazaji ya hapa Tanzania yanavyoweza kushiriki, kuwezeshwa na kunufaika na sekta ya nishati ya gesi asilia, Bi. Neema Lugangilra...

View Article

*KAA TAYARI KUPATA KITU KAMILI CHA VIDEO YA WIMBO MPYA WA JOSE MARA, ENJOY NA...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>