Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*LIONS CLUB YAMTUNUKU RAIS KIKWETE MEDALI YA UONGOZI BORA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini Mh.Alexandre Leveque na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Gavana wa Shirika la Lions Club nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SALMA KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA "STAND UP FOR AFRICAN WOMEN"KUTOKA AMREF

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, akizungumza na ujumbe kutoka African Medical Research Foundation (AMREF) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo hapa nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMPUNI ZA LUGUMI NA RAN IT ZATOA KOMPYUTA TANO NA FEDHA TASLIMU SHILINGI...

 Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi kompyuta 5 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MABONDIA MIYEYUSHO,CHEKA NA WAPINZANI WAO, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO...

 Bondia Fransic Cheka (kulia) akipima uzito na mpinzani wake kutoka nchini Iran, Gavad Zohrehvand, leo mchana kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, kwa ajili ya pambano lao la Kimataifa la kirafiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMPUNI YA JUBILEE WAMKABIDHI SPIKA MAKINDA KADI YA BIMA YA AFYA

 Mtendaji Mkuu wa Kambuni ya Bima ya Jubilee Ndg. George Alande akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda kadi Maalum ya Bima ya Afya atakayoitumia kwa ajili ya matibabu baada ya Ofisi ya Bunge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BREAKING NEEEEEWZZZ!!!! DARAJA LA BUNJU LINALOUNGANISHA DAR NA BAGAMOYO...

Wakazi wa jijini wakishangaa na kushindwa kuvuka baada ya daraja la barabara ya Bagamoyo eneo la Bunju kukatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini. Na taarifa zilizotufikia zinasema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WATAKIWA KUHESHIMU TAALUMA YA HABARI

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na Baadhi ya Wafanyakazi wa chumba cha habari cha Clouds Media wakati wa Ziara ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari kwenye Vyombo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WACHEZAJI WA TIMU YA WATOTO WA MITAANI WATAKA KUSAIDIWA KUKUZA VIPAJI

Mfungaji bora wa Timu ya Watoto wa Mitaani kutoka  Mwanza Tanzania, (TSC)ambayo iliibuka mshindi katika mashindano Kombe la Dunia la  Watoto  hao yaliyofanyika Brazil, mwaka huu  Frank William...

View Article


*MAMA SALMA KIWETE MGENI RASMI KONGAMANO UDOM

Na Magreth Kinabo- Dodoma Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la  mustakabali wa mtoto wa kike katika mazingira ya sasa litakalofanyika kwenye ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE APOKEA TUZO YA "STAND UP FOR AFRICAN WOMEN

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, akizungumza na ujumbe kutoka African Medical Research Foundation (AMREF) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo hapa nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AMPONGEZA JK KWA KAZI NZURI

Ampongeza kwa ujenzi wa madaraja matatu makubwa, Daraja la Malagarasi,Kilombero na Daraja la Kigamboni.Ujenzi wa Sekondari za Kata Nape awaambia wakazi wa kijiji cha Mahembe wachague viongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*IFC AND CRDB BANK COMMIT TO SUPPORT SME AND AGRIBUSINESS SECTORS IN TANZANIA

Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group, speaks during a landmark $75 million loan agreement signing ceremony with the International Finance Corporation (IFC) aimed at providing...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CRDB YAIPIGA JEKI UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA...

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MATUKIO YA MAFURIKO JIJINI DAR, MWENGE, ITV NI HATARI TUPU FOLENI YA KUFA MTU

 Sehemu ya maduka yaliyopo eneo la Kituo cha daladala cha ITV yakiwa yamezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Kutokana na mvua hizo na maji kujaa kumesababisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UPDATE YA MATUKIO YA MAFURIKO YA JIJINI DAR, JANGWANI, MBAGALA NA MATUMBI...

Hapa ni eneo la Jangwani Uwanja wa Club ya Yanga na nyumba zilizopo pembeni yake pakiwa pamejaa maji na barabara ya jangwani kutokea Kigogo haipitiki.Huu ni uwanja wa Club ya Yanga....ukiwa umejaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKURUGENZI MKUU WA TANZANIA WOMEN'S BANK MS MARGARETH CHACHA AKUTANA NA...

Mama Anna Mukami akiwakaribisha wakina mama wa DMV na kumtambulisha mkurugenzi mkuu wa Tanzania Women's Bank wakati Ms Margareth Chacha alipokutana na wakina mama DMV na kuwaelezea sababu za kuanzishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MVUA YA LEO NI DAR MPAKA MORO YAENDELEA KUWATESA WANANCHI, MOROGORO NAKO...

 Baadhi ya Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji katika Eneo la Mzambarauni Mkoa wa Morogoro kutokana na Mvua zilizo nyesha.Huyu jamaa anasubiri manusura.....hap jijini Dar Maji ya mvua yaliyosababisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PICHA ZAIDI ZA MAFURIKO MBAGALA NA KARIAKOO

Chini na juu ni lori la mafuta likiwa limetumbukia eneo la Mbagala. Hatariiii...... akijitutumua kupita lakini aaaah wapi, safari iliishia hapa. Hapa ni maeneo ya Kariakoo... Nje ya maduka ya Kariakoo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TASWIRA YA TUKIO LA UJAMBAZI ENEO LA MOROCCO

Muda mchache uliopita mdau ametutumia Taswira hii ya tukio la Ujambazi Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, eneo la Morocco mbele ya Jengo la Airtel, ambapo Majambazi yameweza kupora fuko la hela ambalo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA YA KUKAGUA ATHALI ZA MAFURIKO DAR NA MAENDELEO...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Mussa Iombe, sehemu ya Daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>