Bondia Fransic Cheka (kulia) akipima uzito na mpinzani wake kutoka nchini Iran, Gavad Zohrehvand, leo mchana kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, kwa ajili ya pambano lao la Kimataifa la kirafiki lisilo la Ubingwa litakalofanyika kesho kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa PST Emmanuel Mnundwa.
Bondia Mustafa Dotto (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzichapa kesho katika pambano la utangulizi.