Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*KAMPUNI YA JUBILEE WAMKABIDHI SPIKA MAKINDA KADI YA BIMA YA AFYA

$
0
0
 Mtendaji Mkuu wa Kambuni ya Bima ya Jubilee Ndg. George Alande akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda kadi Maalum ya Bima ya Afya atakayoitumia kwa ajili ya matibabu baada ya Ofisi ya Bunge kujiunga na kampuni ya Jubilee Insuarnce kwa ajili ya Bima ya matibabu ya Wabunge wote. Anaeshuhudia katikati ni Ndg. Peter Nyabuti kutoka kambuni ya ushauri wa Bima ya Astra Insurance Brokers.
  Spika Makinda akiwa katika picha ya Pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kambuni ya Bima ya Jubilee Ndg. George Alande (kushoto), Ndg. Peter Nyabuti kutoka kambuni ya ushauri wa Bima ya Astra Insurance Brokers (Kulia) na Bi. Kitolina Kippa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Ofisi ya Bunge.
 Mtendaji Mkuu wa Kambuni ya Bima ya Jubilee Ndg. George Alande akimkabidhi Mhe. william Lukuvu kadi Maalum ya Bima ya Afya atakayoitumia kwa ajili ya matibabu baada ya Ofisi ya Bunge kujiunga na kampuni ya Jubilee Insuarnce kwa ajili ya Bima ya matibabu ya Wabunge wote. Anaeshuhudia katikati ni Ndg. Peter Nyabuti kutoka kambuni ya ushauri wa Bima ya Astra Insurance Brokers.

Mhe Lukuvi akiteta jambo na wageni wake ofisini kwake baada ya kukabidhiwa kadi yake. Kulia ni Bi. Kitolina Kippa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Ofisi ya Bunge, Picha na Owen Mwandumbya

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles