*MCHAKATO WA KILA MTANZANIA KUPATA MATIBABU BILA VIKWAZO WAJA
Na Magreth Kinabo, DodomaSerikali iko katika mchakato wa kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa Ugharamiaji Huduma za Afya ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya za msingi bila vipingamizi...
View Article*TBL YAZINDUA RASMI MASHINDANO YA CASTLE LAGER PERFECT 6, JIJINI DAR MSHINDI...
Meneja Masoko wa TBL, Fimbo Butallah, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa mashindao ya Castle Lager Perfect 6 yaliyofanyika kwenye ufukwe wa...
View Article*DARAJA LA KAWE UKWAMANI NALO LASOMBWA NA MAJI
Mvua kubwa iliyonyesha juzi na jana kwa siku mbili mfululizo imesababisha maafa mengine kwa wakazi wa Kata ya Kawe, ambapo daraja lao nalo limesombwa na maji ya Mto Mbezi katika Mtaa wa Ukwamani.
View Article*KUTOKA MBEYA, AZAM 1-MBEYA CITY 0, ARUSHA YANGA 0-ORJOLO 0, TAIFA ASHANTI...
Kutoka uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Azam Fc, inaongoza bao 1-0, dhidi ya Mbeya City. Na kutoka jijini Arusha, Yanga 0-Orjolo 0. Na kutoka uwanja wa Taifa, Ashanti 1- Simba 0. Kote ni kipindi cha pili.
View Article*KUTOKA MBEYA AZAM 2-MBEYA CITY 1, YANGA WANAPATA MABAO 2 ORJOLO 1
Kutoka Mbeya, John Boko, anaipatia Azam bao la pili, na sasa Mbeya City 1 Azam 2. Kutoka Jijini Arusha Yanga 2 Orjolo 1, mabao ya Yanga yamefungwa na Zahri na Ngasa.
View Article*DAKIKA 90 KATIKA VIWANJA VITATU ZIMEMALIZIKA, AZAM FC BINGWA, YANGA WA PILI,...
Dakika 90 za mechi za Ligi Kuu ya Tanzania Bara katika viwanja vitatu tofauti zimemalizika huku Azam wakijihakikishia pointi tatu muhimu za kujitangazia ubingwa wa Ligi msimu huu wa 2014, kwa...
View Article*GURUMO AFARIKI DUNIA LEO MAJIRA YA SAA 9 JIONI
HABARI ZILIZOTUFIKI HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA GWIJI LA MUZIKI WA DANSI NCHINI, MUHIDIN GURUMO, AMEFARIKI DUNIA LEO MAJIRA YA SAA TISA. HABARI KAMILI KUHUSU MSIBA HUU ZITWAJIA KADRI ZITAKAVYOTUFIKIA.
View Article*ABIRIA WA MIKOANI WAKWAMA DARAJA RUVU, BARABARA, DARAJA VYAJAA MAJI
Wasafiri kutoka mikoani kuelekea jijini Dar es Salaam, waliokuwa wakisafiri jana wakiwa eneo la Ruvu Darajani wakitafakari jinsi ya kuvuka eneo hilo baada ya barabara kujaa maji na kushindwa kuvuka...
View Article*GURUMO KUZIKWA LEO ADHUHURI KIJIJINI KWAO MASAKI KISARAWE
Mwanamuziki mkongwe na Gwiji la muziki wa dansi nchini Tanzania, Maalim Muhidin Gurumo, (pichani enzi za uhai wake) aliyefariki dunia jana jioni majira ya saa 9 alasiri katika hospitali ya Taifa...
View Article*MAMA KIKWETE AWATAKA WANAFUNZI WA KIKE WA VYUO VIKUU KUJITAMBUA
Na Anna Nkinda – Maelezo , DodomaWanafunzi wa kike wa vyuo vikuu nchini wametakiwa kujitambua na kufahamu wajibu wao kwa jamii inayowazunguka kwa kufanya hivyo wataweza kujiepesha na vishawishi...
View Article*SEMINA YA WABUNGE WA BUNGE LA MAALUM LA KATIBA NA ALAT MJINI DODOMA.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mustapha Akunaay akichangia maoni yake leo mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. Mjumbe wa...
View Article*RAIS KIKWETE AKAGUA MAENEO YA MAFURIKO NA KUWAPA POLE WASAFIRI NA WANANCHI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko.Pichani Rais akisalimiana na kuzungumza na...
View Article*JAMII IMETAKIWA KUTUMIA VYAKULA VINAVYOPATIKANA KATIKA MAZINGIRA...
Afisa kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Bw. Valerian Vitalis Kidole, akiendesha mafunzo ya siku nne ya wanahabari na watangazaji wa redio jamii yaliyofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la...
View Article*WATUMISHI WA SERIKALI NA MASHIRIKA YA UMMA WAFANYA TAMASHA LA MICHEZO...
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana,Utramaduni na Michezo ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Michezo na Burudani kuelekea maadhimisho ya Muungano wa...
View Article*MINISTER FOR FINANCE AND CNN TALK INVESTMENT AND ENTERPRENEURSHIP AS...
Hon. Saada Mkuya Salum, Minister for Finance during the interview with CNN International's Producer Brian MacBride.Hon. Saada Mkuya Salum, Tanzania's Minister for Finance. engages with CNN...
View Article*CHEKI JINSI SIMBA ALIVYOMUUA MAMA WA NYANI NA KUMLEA MTOTO WA NYANI, NYANI...
Simba akiwa amembeba nyani baada ya kumuua, huku mtoto wa nyani akiwa amemkumbatia mama yake bado.**********************************************************Mpiga picha Evan Schiller na Lisa Holzwarth...
View Article*KWA MARA YA KWANZA AZAM FC MABINGWA WAPYA LIGI KUU BARA 2014 TANGU 1965
Wachezaji wa Azam Fc, wakishangilia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya city katika mchezo wao wa Ligi Kuu uliochezwa jana Jijini Mbeya na kutangaza ubingwa rasmi kwa kufikisha jumla ya Pointi 59...
View Article*MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI "THOMAS LIPUKA KOMBA"ALIYEZIKWA KIJIJINI KWAO...
Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa mbele ya jeneza lenye mwili wa Marehemu Lipuka Komba.Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma wakishusha sanduku kaburini.Mjane wa marehemu, Christina Haule...
View Article*MASAA 14 YA SAFARI YA KINANA ZIWA TANGANYIKA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka mkoa wa Kigoma kuelekea Karema mkoani Katavi kwa siku nne.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kijiji cha...
View Article