$ 0 0 Mvua kubwa iliyonyesha juzi na jana kwa siku mbili mfululizo imesababisha maafa mengine kwa wakazi wa Kata ya Kawe, ambapo daraja lao nalo limesombwa na maji ya Mto Mbezi katika Mtaa wa Ukwamani.