$ 0 0 Kutoka uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Azam Fc, inaongoza bao 1-0, dhidi ya Mbeya City. Na kutoka jijini Arusha, Yanga 0-Orjolo 0. Na kutoka uwanja wa Taifa, Ashanti 1- Simba 0. Kote ni kipindi cha pili.