Askari Polisi akiwatuliza wanakijiji wa kijiji cha Masanganya Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani, jana baada ya hatua walizozichukua za Kumfukuza Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Rajabu Iddi juzi kutokana na ubadhilifu wa matumizi mabaya na kutumia vibaya madaraka yake wakati wa Mkutano na Viongozi wa Wilaya ya Kisarawe. Picha na Jumanne Juma.
↧