*MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI
MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani, zinazotarajia kufanyika Mei 5, jijini Dar es Salaam. Chama cha Wakunga Tanzania...
View Article*MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI WAONGEZA UKUSANYAJI WA MAPATO MANISPAA YA...
Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bw. Sebastian Mhowera akieleza kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato unatumiwa na...
View Article*SERIKALI YAZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU
Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Elimu yatakayo fanyika kitaifa mkoani Dodoma. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya...
View Article*WANAHABARI 'MATESTER' WASHINDA UONJAJI BIA ZA TBL
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto), akiwapongeza waandishi wa habari washindi wa uonjaji bia za kampuni hiyo katika mashindano yaliyofanyika baada ya kutembelea...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA IABADA MAALUM YA KUSIMIKWA ASKOFU MTEULE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu Mteule, Alen Legeza Siso, baada ya kumkabidhi Katiba na Kanuni za Kanisa la Methodist Tanzania, wakati...
View Article*RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA KAMPENI DHIDI YA UKIMW KILIMANJARO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi hundi ya jumla ya Shilingi Milioni miamoja na Hamsini 150m/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Moyo wa Huruma kilichopo mkoa wa Geita.Fedha...
View Article*MALKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA
Ndani ya Kijiji cha Maisha Plus/ Mama Shujaa wa chakula kila siku ya Alhamisi huwa panafanyika uchaguzi wa kumpata Rais mpya ambaye anachaguliwa na Washiriki wenyewe wa Kijiji cha Maisha Plus ambapo...
View Article*SHIME WAANDISHI WA HABARI MSIKUBALI KUTUMIWA KAMA MADARAJA, UNGANENI
Baadhi ya waandishi wa habari na wadau kutoka asasi mbalimbali nchini wakifanya usajili kwenye kongamano la siku moja lilioandiliwa kuadhimisha Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani 2014 lililofanyika...
View Article*BREAKING NEEEEZZZ!!!! MILIPULO KADHAA YAUA NA KUJERUHI MJINI MOMBASA
Mlipuko kadhaa imetokea mjini Mombasa nchini Kenya, ambapo imedaiwa walipuaji wamelipua sehemu tatu tofauti.Akizungumza kutoa taarifa za tukio hilo Kamishna wa kaunti ya mombasa Nelson Marwa, amesema...
View Article*MLIPUKO MWINGINE JIJINI NAIROBI
Baada ya milipuko iliyotokea jana mjini Mombasa mwingine umetokea jijini Nairobi jana na kujeruhi watu kadhaa.
View Article*NAPE ALIPOHUTUBIA WAKAZI WA GOMBANI PEMBA, KINANA AWASAMBARATISHA UKAWA
Kinana akiwahutubia wananchi wa mjini Zanzibar jana, Wananchi wakishangilia na kuonesha vidole kuunga mkono serikali mbili za Muungano wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM leo kwenye viwanja vya...
View Article*VIWANJA VYA NYAMAGANA MWANZA NA KAITABA BUKOBA KUWEKWA VYASI BANDIA
Uwanja wa Nyamagana Mwanza unavyoonekana kwa sasa, ambao ni mmoja kati ya viwanja viwili vinavyotarajia kuwekwa nyasi bandia.*****************************************Mtaalamu wa nyasi bandia kutoka...
View Article*MYWEATHER ALIPOSHUHUDIWA NA KINA MATUMLA,CHEKA, KALAMA AKISHINDA KWA POINTI
Bondia Floyd Myweathe (kushoto) akipangua ngumi ya Marcos Maidana, wakati wa pambano lao lililochezwa alfajili ya kuamkia jana. PointI za majaji, Judge Michael Pernick Scored 114-114, ambazo ni droo....
View Article*SHINDANO LA MISS DAR CITY CENTER KUFANYIKA MEI 24
Na Mwandishi WetuSHINDANO la Miss Dar City Center limezinduliwa rasmi jana na linatarajiwa kufanyika mei 24 kwaka huu katika ukumbi ambao utatangazwa baade, huku likishirikisha warembo 15.Akizungumza...
View Article*MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAKIWA KULIANGALIA KWA JICHO LA TATU KUNDI LA UKAWA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika mkutano wa hadhara wa uwanja wa Demokrasia uliopo Kibanda maiti Mjini Zanzibar.Picha na...
View Article*WANAKIJIJI WA MASANGANYA KISARAWE WAMTIMUA MWENYEKITI WAO WA KIJIJI
Askari Polisi akiwatuliza wanakijiji wa kijiji cha Masanganya Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani, jana baada ya hatua walizozichukua za Kumfukuza Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Rajabu Iddi juzi kutokana na...
View Article* AFRICA IS CALLING - TUBINGEN INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL-GERMANY 2014 -...
Dear Africans, friends, lovers and well-wishers of Africa,The Lord Major of Tübingen University community –Boris Palmer and its community, the president of chamber of commerce and industry and its...
View Article*CDA YABOMOA ZAIDI YA NYUMBA 65 MANISPAA YA DODOMA
Tingatinga la Mamraka ya ustawishaji makao makuu [CDA] likibomoa moja ya nyumba zilizopo katika hifadhi ya Barabara inayotarajiwa kuanza kujengwa havi karibuni, ambapo zaidi ya nyumba 65 zilibomolewa...
View Article*MKE ALALAMIKA KUVURUGIWA NDOA YAKE NA ANAYEDHANIWA NI LULU, ANGALIZO:...
"Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mienendo ya mume wangu kutokana na tabia yake kubadilika sana siku za hivi karibuni, nikabaini kuwa kuna msichana anawasiliana naye kwa...
View Article