Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo, wakati wa mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa leo jino kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2, huku Yanga ikifanikiwa kuchomoa dakika za marejuhi. Mabao ya Yanga, bao la kwanza lilifungwa na Didier Kavumbagu na la pili, lilifungwa na Jerry Tegete.
Mtanange ukiendelea......
Mabeki wa Yanga wakimdhibiti mchezaji wa URA.