*YANGA YAGOMEA YA WATANI WAO, YACHOMOA JIONIIIIIII, SARE YA 2-2 NA URA
Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo, wakati wa mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa leo jino kwenye Uwanja wa Taifa jijini...
View Article*MKE WA BALOZI IDD AKABIDHI MSAADA WA MASHINE YA FOTOKOPI NA WINO WAKE KWA...
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akimkabidhi Wino pamoja na mashine ya Fotokopi Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Msingi ya Vikokotoni Taifa Khamis Ahmed. Mama Asha alikabidhi...
View Article*MASHINDANO YA KUSOMA QUR AAN TUKUFU KITAIFA YA AISHA SURURU YAFIKIA TAMATI LEO
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri, akisoma wakati wa fainali.Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Seif Salim Said ambaye ni mlemavu wa macho...
View Article*NBC KUPITIA HUDUMA YA ISLAMIC BANKING YAANDAA FUTARI KWA WATEJA WAKE
Naibu Waziri wa Fedha, Bi. Saada Mkuya Salum (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bi. Mizinga Melu (kushoto kwake) wakijisevia mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo...
View Article*LIGI KUU YA VODACOM 2013/2014 KUANZA AGOSTI 24, ISOME RATIBA KAMILI HAPA
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2013/2014 inaanza kutimua vumbi Agosti 24 mwaka huu kwa timu zote 14 kuwa viwanjani katika miji saba tofauti.Hata hivyo, kabla ya...
View Article*ASKARI WALIOKUFA DARFUR WAKILINDA AMANI HAWA HAPA-MUNGU ZILAZE ROHO ZAO PEMA...
MT 97024 PTE Fortunatus Wilbard Msofe- 36 KJ MT 80581 CPL Mohamed Juma Ally- DFHQ AU MT 72032 CPL Mohamed Chukilizo 41KJ MT 87085 PTE Rodney Gido Ndunguru 92 KJ MT 88860 PTE Peter Muhiri Werema 44KJ...
View Article*TAIFA STARS KUIFUATA UGANDA 'THE CRANES' JUMATANO, KUKIPIGA JUMAMOSI
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaondoka Mwanza keshokutwa (Julai 24 mwaka huu) kwenda Kampala, Uganda kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la CHAN itakayochezwa Jumamosi (Julai 27 mwaka...
View Article*ASKARI WALIOKUFA DARFUR WAAGWA LEO DAR, RAIS KIKWETE AWAONGOZA WANANCHI...
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini...
View Article*MASOGANGE NA MWENZAKE KUPANDISHWA KIZIMBANI KWA MARA YA PILI AGOSTI 13
Hatima ya msanii anayeshiriki katika video za wasanii wa muziki wa bongo fleva, Agnes Jerald 'Masogange' na mwenzake Melisa Edward, waliokamatwa nchini Afrika Kusini na dawa za kulevya kesi yao...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN AONGOZA MAZISHI YA ASKARI WALIOKUFA DARFUL...
Baadhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi la Tanzania, Ndugu na Jamaa wa marehemu Sgt Shaibu Shehe Othman, na Cpl Mohammed Juma Ally, ,wakiwa katika viwanja vya makaburi ya Mwanakwerekwe leo mchana...
View Article*BENKI YA BARCLAYS YATOA MSAADA WA SH. MILIONI 120 KWA AJILI YA MAFUNZO YA...
Meneja wa Mawasiliano na Huduma za Jamii wa Benki ya Barclays Bi.Tunu Kavishe (kushoto) akikabidhi hundi yenye thamani ya Sh. milioni 120 kwa Mkurugenzi wa Shirika la Nkwamira Bi. Noreen Mazalla...
View Article*KIM POULSEN-TAIFA STARS TUPO TAYARI KUWAVAA UGANDA
Kocha mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen na Kipa wa Stars, Juma Kaseja.Boniface WamburaKocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen amesema kikosi chake kimejiandaa kuikabili Uganda kwenye mechi ya marudiano...
View Article*NHIF KUPELEKA MADAKTARI BINGWA MIKOANI
Mkurugenzi wa Idara ya Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto (kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari juu ya mpango wa mfuko huo kupeleka huduma za madaktari...
View Article*MKUU WA WILAYA MTWARA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI MAFUNZO YA UJASILIAMALI
Na Mwandishi Wetu, MtwaraMKUU wa Wilaya ya Mtwara Mjini, Mh. Wilman Ndile amewataka wananchi wa wilaya yake na mkoani Mtwara kwa ujumla, kujitokeza kushiriki semina ya ujasiriamali itakayofanyika...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA TONY BLAIR NA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe Tony Blair na mkewe Cherrie Blair, alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013. PICHA NA IKULU
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAKAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa Wizara ya pamoja na wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es...
View Article*WAINGEREZA WAKESHA BARABARANI KUMPOKEA NA KUMUONA MFALME MTOTO ALIYEZALIWA,...
The safe hands of the Duchess of Cambridge with her son who was born yesterday. William jokes: 'He's got her looks, thankfully' Kate: 'It's very emotional, it's such a special time. I think any...
View Article*MAHOJIANO NA WADAU WA GENN RADIO -KANSAS U.S.A
Bw. Robert Otto ambae ni Mkurugenzi wa kituo cha Global Entertainment and News Network (GENN) kiliyopo Kansas City nchini Marekani. Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com)Dada D ni mtangazaji wa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTARU NA WANANCHI MKOANI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kutoka kushoto) akishiriki swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wa Mkoani Arusha, wakati...
View Article*MEYA WA ILALA JERRY SLAA AZINDUA RASMI KAMBI YA REDD'S MISS ILALA
Na Mwandishi WetuMEYA wa wilaya ya Ilala, Jerry Slaa amewataka warembo wa wilaya ua Ilala kuangalia mbele zaidi mara baada ya shindano hilo waone kuna vitu wamejifunza ili kuweza kuwasaidia katika...
View Article