Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA URUSI, NAIBU KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO

$
0
0
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam leo mchana.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha  Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam leo.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango  Ikulu jijini Dar es salaam leo.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha  baada ya kumuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango  Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, wakiwa na walioapishwa Luteni Generali Wyjones Kisamba na  Mhe Paul Thomas Sangawe  Ikulu jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>