Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SAMATA, ULIMWENGU KUTUA JUMAMOSI KUISAPOTI STARS JUMAPILI

Wachezaji wa kimataifa wa Tanzania wanaochezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wanatarajiwa kuwasili Jumamosi mchana (Mei 17 mwaka huu) kujiunga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SNURA MAMA WA MAJANGA KUWAPAGAWISHA MISS UNI COLLEGE JUMAMOSI DAR LIVE

Mratibu wa mashindano ya Miss Uni-College Temeke, Silas Michael (katikati) akiwatambulisha baadhi ya warembo ambao Jumamosi watapanda jukwaani kwenye ukumbi wa Dar Live kuwania nafasi ya mshindi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy Mohamed, bungeni mjini Dodoma Mai 15, 2014.Mbunge wa Viti Maalum, Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare (kulia) akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA URUSI, NAIBU KATIBU MTENDAJI...

  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam leo mchana. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AUNGURUMA KATA YA KITUNDA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Mgambo kitongoji cha Lukula  kata ya Kitunda wilayani Sikonge mkani Tabora ambapo aliwaomba radhi wakulima wa Tumbaku kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMFARIJI SALVA RWEYEMAMU

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA MKEWE...

 Juu na chini ni Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na msafara wa Mhe. Benjamin Mkapa wakifuatilia mzungumuzo hayo. Juu na chini ni Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake, Rais Mstaafu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FILAMU YA JOTI SANDUKU LA BABU KUINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI

Msanii Lucas Mhavile ‘Joti’baada ya kukaa kimya kwa mda sasa ameibuka na filamu yake ya Joti Sanduku la Babu ambayo amecheza katika husika tofauti tofauti filamu hiyo itakuwa ikisambazwa na   Kampuni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHINA NA TANZANIA ZATILIANA SAINI MKATABA WA WENYE THAMANI YA DOLA LAKI MOJA...

 Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah akitoa maelezo juu ya kazi mbalimbali zifanywazo na Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania leo wakati wa sherehe fupi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WAPILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AUOMBA MFUKO WAMAENDELEO...

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi SeIF Ali Iddi akiwa pamoja na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi kwenye chakula maalum cha usiku walichoandaliwa wajumbe wa Bodi Tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOZI ZA UKOCHA LESENI A, B KUFANYIKA JUNI

Kocha a ukocha wa mpira wa miguu kwa ajili ya leseni A na B zinazotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)  zitafanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Juni 2 mwaka huu.Ada kwa kozi zote ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT SHEN AKUTANA NA BW.RAYMOND KATIBU MKUU WA KIMAIFA WA USAFIRI WA ANGA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Katibu Mkuu Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga Bw.Raymond Banjamin,(kulia) alipofika Ikulu Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWASILI URAMBO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Urambo Ndugu John Samuel Sitta wakati wa mapokezi katika kijiji cha Izimbili wilaya ya Urambo mkoani Tabora,Katibu Mkuu atakuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA MARIA NYERERE AZUNGUMZIA MAISHA YA MWALIMU

 Mama Maria Nyerere amezungumza na vyombo vya habari nyumbani kwake Msasani, na kuwataka vijana waliokwenda kumtembelea kuzunguka nchi mzima kuwaambia ukweli watanzania juu ya Maisha halisi ya mwalimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONYESHO YA BIASHARA YA UTURUKI YAFANA

 Baadhi ya watu mbalimbali wakimsikiliza Radhia Ramadhani akiwaonyesha wananchi waliofika katika banda la kenton jinsi ya utengenezaji wa chapati zinazotengenezwa kwa kutumia maziwa ya ngombe pamoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MSANII WA BONGO MOVIE ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA

 Adam Kuambiana enzi za uhai wake.Msanii mahiri wa filam nchini, Adam Kuambiana, amefariki dunia alfajili ya kuamkia leo wakati akipelekwa kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ULIMWENGU, SAMATA WATUA KUWAKABILI ZIMBAMWE KESHO, WAJIUNGA STARS

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wametua Dar es Salaam leo (Mei 17 mwaka huu) mchana, na kujiunga moja kwa moja kwenye kambi ya Taifa Stars kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI SALMA KIKWETE HUKO KIJITONYAMA

  Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete iliyoko Kijitonyama wakimsikiliza kwa makini Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ndiye mlezi wa shule hiyo wakati alipoitembelea leo mchana. Mke...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AFUNGA KAZI URAMBO, MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO WAKE WA HADHARA

 Kaibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 16, 2014 katika viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo, akiwa katika ziara ya kukagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AWASILI KALIUA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akisikiliza wimbo wa mapokezi kutoka kwa wasanii wa kundi la Hiari ya Moyo mara baada ya kuwasili kwenye Jimbo la Urambo Magharibi ,wilaya ya Kaliua. Katibu...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>