Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KARAMA NYILAWILA, SAID MBELWA WATAMBULISHWA KUZICHAPA MEI 24 DAR

Mabondia Karama Nyilawila (kushoto) na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa pambano lao la kuwania ubingwa wa UBO linalotarajia kufanyika Mei 24 mwaka huu, katika ukumbi wa Friends Corner...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BRIEFING WITH THE SECRETARY GENERAL AND LAKHDAR BRAHIMI, JOINT SPECIAL...

Transcript of press briefing with the Secretary-General and Lakhdar Brahimi,Joint Special Representative for SyriaNew York, 13 May 2014Ladies and Gentlemen,I have an announcement to make and because of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ASKOFU SIXBERT PAUL WA KANISA LA VICTORIOUS KUTUNUKIA SHAHADA YA UDAKTARI YA...

Na Mwandishi wetu, MoshiCHUO kikuu cha Africa, African Graduate University, Chenye makao yake nchini, Sierra Leone kinatarajia kumtunuku shahada ya udaktari ya huduma, Askofu Mkuu Sixbert Paul, wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MVUA ILIYONYESHA JIJINI DAR JANA ILIVYOWATESA MADEREVA WA BAJAJI MIKOCHENI

 Dereva wa Bajaji yenye namba za usajili T 920 CMC, ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, akijaribu kuikwamua Bajaji yake katika dimbwi la Maji huku ndani akiwa na abiria baada ya kuzimika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*YALIYOJADILIWA KATIKA KIKAO CHA TASWA HAYA HAPA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilikutana Dar es Salaam juzi Jumatatu na kujadili masuala mbalimbali yahusiyo chama hicho....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA WANASAYANSI NA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AKO LABAMBA NAYO YAJITOSA KUDHAMINI SHINDANO LA MISS UBUNGO

Baadhi ya washiriki wa Miss Ubungo 2014 wakiwa katika pozi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Meneja Miradi wa Kampuni ya AKO Group Ltd, Honesty Minde, alisema wameamua kudhami ni shindano hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BIALA AAGANA NABALOZI MTEULE WA TANZANIA, NCHINI SWEDEN...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*LAUNCH OF EDUCATION REPORT THURSDAY 15 MAY 2014

  M E D I A      AD V I S O R YThe United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization (UNESCO) and the Ministry of Education and Vocational Training cordially invites the media to the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MFUKO WA WANYAMA PORI WAPIGA BAO NDANI YA KIPINDI CHA MIEZI MITATU

Kaimu mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kuhifadhi Wanyamapori Bw. John Muya akiwaeleza waandishi wa habari mafanikio yaliyofikiwa  na Mfuko  huo katika Kupambana na Ujangili katika kipindi cha miezi mitatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAVAA VIMINI NA DENGUE 'DUGU MOJA', SERIKALI IMESEMA MATIBABU YA DENGUE...

Na Magreth Kinabo – MAELEZOKINADADA wavaa vimini ni miongoni mwa walio katika hatari ya kuugua ugonjwa mpya wa homa ya dengue kirahisi, ambapo Serikali tayari imetoa onyo kwa wavaa vimini ka wavulana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DENGUE FEVER AWARENESS

Dengue Fever AwarenessMAY 2014Dengue is a viral infection spread by mosquitoes.  It is widespread in tropical and sub-tropical regions. In the month of February 2014, the Dar es Salaam Public Health...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*THE GOVERNMENT PLANS TO IMPROVE EMPLOYMENT POLICY

Dr. Coffi Agossou, ILO Senior Labour Statistics Specialist facilitating the session during the Intergrated Labour Force Survey (ILFS) Data Production and Management training organised by the ILO for...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ACCESS BANK WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA SEKONDARI AZANIA

 Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKUTANO WA HADHARA WA KINANA SIKONGE

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma orodha ya vijiji vitakavyopata umeme chini ya mradi wa umeme vijijini katika wilaya ya Sikonge mkoani Tabora wakati wa mkutano wa hadhara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UJIO MPYA WA WITNESZ FEAT OCHU SHEGGY-THINKING ABOUT IT

Kuwa wa kwanza kusikiliza Single mpya ya Msanii Witnesz aliyemshirikisha Ochu Sheggy "THINK ABOUT IT" hapa chini.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAGARI YA KUZOLEA TAKA NAYO YAMEHARIBIKA KAMA BARABARA ZA BONGO KUTOKANA NA...

 Maeneo mengi ya mitaa ya Kariakoo yamefurika marundo ya taka zisizolewa kwa muda kama inavyoonekana pichani hapa ni nje ya Soko la Kariakoo. Haikuweza kufahamika chanzo cha kutozolewa taka hizo kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAARIFA YA MSIBA WA MTOTO WA MSEMAJI WA IKULU WA SALVA RWEYEMAMU

Taarifa ya msiba wa Mtoto wa Ndugu yetu Salva Rweyemamu.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DIAMOND AZUNGUMZIA KUHUSU BET NOMINATION 2014 [VIDEO]

Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji Superstar wa Bongo, Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye kipengele cha Best International Act. Diamond...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AMINA NGALUMA AFARIKI DUNIA NCHINI THAILAND AKIFANYIWA UPASUAJI WA KICHWA

Aliyewahi kuwa mwanamuziki wa dansi wa bendi za African Revolution 'Wana tam tam' na Double M, enzi hizo chini ya uongozi wa Muumin Mwinjuma, Amina Ngalum A.K.A Japanese (pichani enzi za uhai wake)...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>