*CHAMA CHA UMOJA WA WAKE WA VIONGOZI WATOA MSAADA WA VITABU NA KUOMBA WADAU,...
Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye thamani ya shilngi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu wa kituo cha kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda...
View Article*MAN CITY WALIVYOTWAA UBINGWA WA LIGI YA ENGLAND JANA
Man City jana wametwaa ubingwa wa Ligi kuu ya England baada ya kuwachapa New Castle kwa mabao 2-1 na kujiongezea pointi 86 zilizowafanya kuwa juu ya Liver Pool wenye pointi 84 na kutwaa ubingwa huo kwa...
View Article*TASWIRA YA BANDARI YA ZANZIBAR KWA SASA NA UTARATIBU WA KIDIGITALI NA KIMATAIFA
Baadhi ya abiria wakiwasili na kuondoka kwenye Bandari ya mji wa Zanzibar, ambapo kwa sasa baada ya kukarabatiwa na kujengwa upya kumekuwa na utaratibu mzuri kwa abiria wanaoondoka na kuwasili kwenye...
View Article*MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA MANDERA
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa rsami na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ndugu Ahmed Kipozi mara baada ya kuwasili kwenye Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandera iliyoko wilayani Pagamoyo,...
View Article*UMOJA WA WAKE WA VIONGOZI 'NEW MELLINIUM WOMEN GROUP' WATEMBELEA KAMBI YA...
Mlezi wa chama cha wake wa viongozi New Mellinium Women Group Mama Tunu Pinda akiwongoza wakina mama wenzake kuelekea katika kambi ya Maisha Plus aliye nyuma yake ni Mke wa Makamu wa Raisi Zakia...
View Article*RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI JIJINI ARUSHA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi wakati wa maadhimisho ya...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MFUKO WA UBUNIFU NA MAENDELEO YA WATU (HDIF)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia...
View Article*STARS, KUKIPIGA NA ZIMBABWE UWANJA WA TAIFA DAR JUMAPILI
Mechi ya kwanza ya raundi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika 2015 nchini Morocco kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Zimbabwe (Mighty Warriors) itafanyika Jumapili (Mei 18 mwaka huu)...
View Article*BALOZI IDDI ATEMBELEA KUJIONEA NYUMBA YA SALIM AHMED SALIM ILIYOBOMOKA MJINI...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akijumuika pamoja na baadhi ya wananchi kuangalia athari iliyotokea na nyumba ya Bwana Salim Ahmed Salim baada ya ukuta na dari yake kuanguka...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU FROSSIE CHIYAONGA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Balozi Frossie Chiyaonga, wakati...
View Article* KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI DODOMA.
Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waki kagua moja ya Mradi uanao tekelezwa na ( CDA) Miradi hii nikatika mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN). Katibu Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M...
View Article*KINANA WILAYANI UYUI
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahtubia wakazi wa Loya wilayani Uyui,Katibu Mkuu aliipongeza sana halmashauri ya wilaya kwa kujenga shule za sekondari 18 za kata. Mwenyekiti wa...
View Article*SEKTA YA UTAMADUNI KUDUMISHA USHIRIKIANO BAINA YA TANZANIA NA CHINA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga(kulia) akiteta jambo na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China nchini Liu Dong walipotembelea ofisi za...
View Article*SIMBA, YANGA ZAKACHA MKUTANO WA RAIS WA TFF NA WENYEVITI WA KLABU ZA LIGI KUU
Mkutano wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na wenyeviti wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kupata maoni yao juu ya changamoto zilizojitokeza katika ligi hiyo...
View Article*KUWAONA STARS WA TUKUYU v/s ZIMBABWE KIINGILIO 5,000/=
Kiingilio cha chini cha mechi ya kwanza ya raundi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika 2015 nchini Morocco kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Zimbabwe (Mighty Warriors) itakayochezwa...
View Article*TFF YATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA MKUFUNZI KASINDE
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha Mkufunzi wa waamuzi nchini, Omari Kasinde kilichotokea jana (Mei 12 mwaka huu) jijini Dar es Salaam.Mbali ya kuwa Mkufunzi,...
View Article*JOKATE AWATAKA WAHITIMU WA VYUO VIKUU KUJIAJIRI
Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA MKUU WA UNDP BIBI HELLEN CLARK IKULU JIJINI DAR ES...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark aliyemtembelea leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam.Rais Dkt...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AFUNGA MAFUNZO YA MAAFISA WA KMKM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akimvalisha Cheo cha Luteni usu Abdalla Mohammed Mussa,wa KMKM katika sherehe za ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa 97...
View Article