Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa, mchana ambapo baada ya zoezi hilo mwili huo utasafirishwa kuelekea nchi Kenya kwa maziko. KAA NASI KWA MATUKIO KAMILI YA SHUGHULI HII YA KUAGWA MWILI WA TYSON.