*MISA YA MSIBA DMV
Dada Sarah Mushi wa Ashburn, VA anapenda kuwajulisha na kuwaomba mjumuike nae katika misa ya mpendwa mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi itakayofanyika Jumamosi June 7, 2014 katika kanisa OUR...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATETA NA RAIS MPYA WA MALAWI PROF. ARTHUR PETER...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa na Rais mpya wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakiwa katika picha ya pamoja baada ya rais mpya wa Malawi...
View Article*ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM, KINANA NDANI YA MERERANI, AKUTANA NA WACHIMBAJI...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akioneshwa vipande vya madini aina ya Tanzanite ,katika mgodi wa mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy.Katibu Mkuu wa CCM...
View Article*UPDATES YA MSIBA WA GEORGE TYSON, SASA KUAGWA VIWANJA VYA LEADERS JUMATANO
Mwili wa Marehemu George Tyson (pichani) utapelekwa nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach (eneo la Makonde) jijini Dar es salaam leo Jumanne Juni 3, 2014 kuanzia majira ya saa kumi jioni kwa ajili ya...
View Article*KAMPUNI YA BANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA...
Viongozi wa Kampuni ya Bantu Sports And Fitness Enterprise, wakipanda mti wakati wa Uzinduzi wa Kampuni hiyo iliyoambatana na utoaji wa Msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya kuepuka matumizi ya...
View Article*KITUO CHA DALADALA MWENGE CHABOMOLEWA RASMI
Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kinavyoonekana baada ya kubomolewa, ambapo zoezi ya ubomoaji huo limeanza leo asubuhi. Vijana wakijisevia mabaki ya mabati na mbao baada ya kubomolewa...
View Article*TAASISI YA FARIDA FOUNDATION KUFANYA UZINDUZI JUNI 28/ 2014
Taasisi ya faridas foundation inatarajia kufanya uzinduzi wake rasmi siku ya tar 28/6/2014 siku ya jumamosi katika ukumbi wa crystal hall, blue pearl hotel, ubungo plaza kuanzia saa 6-12 jioni. Katika...
View Article*TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA KIONGOZI WA FAM
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha Mwakilishi wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mara (FAM) katika Mkutano Mkuu wa TFF, William Chibura kilichotokea leo...
View ArticleMBONA UMENUNA YA MB DOG KUANZA KUONEKANA KWENYE LUNINGA WIKI HII.
MWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed, Mb Dog, amesema mashabiki wake wataanza kuona video ya wimbo wake wa Mbona Umenuna katika vituo vya luninga ndani ya wiki hii.Mb Dog, pichani.Video...
View Article*RAIS WA ZANZIRAR DKT SHEIN AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WALIO CHINI YA WIZARA YAKE.
Baadhi ya watendaji na washauri wa Ofisi ya Rais Ikulu wakiwa katika hafla ya chakula iliyofanyika baada ya kupitishwa bajeti za Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la...
View Article*MFUKO WA UWEZESHAJI WA WANANCHI ZANZIBAR WAWATUNUKU HUNDI ZA MIKOPO...
Mwakilishi wa Kikundi cha wajasiriamali wa usafirishaji abiria kwa njia ya Bahari cha Rehema za Mungu cha Kisiwa cha Tumbatu Wilaya ya Kaskazini “ A “ akipokea hundi ya shilingi Milioni 2,400,000/-...
View Article*EFM 93.7 'YA MKUDE SIMBA' YAZINDULIWA KWA BONGE LA SHOO, DULLY ACHAFUA HALI...
Jukwaa la shoo hiyo, lilivyokuwa.Msanii, Dogo Kinagana, akionyesha umahiri wake wa kucheza na Sayansi kwa kunywa maji chupa nzima na kisha kuanza kuyatoa kwa kufinya sikio lake, wakati wa shoo baab...
View Article*MABWAWA YALIYOPO PEMBENI MWA TANESCO MIKOCHEZI YANASUBIRI MWEKEZAJI AFUGE...
Vijana wakijaribu kulikwamua gari aina ya baloon lililokwama kwenye Dimbwi la Maji eneo la Mikochezi pembeni mwa ukuta wa Tanesco jana asubuhi. Eneo hilo limekuwa sugu kukiwa na maji yasiyokauka jambo...
View Article*MTUMBWI KWAKE BAHARINI, GARINI MWAKE KWELI???
Gari ndogo aina ya Pick Up ikiwa imebeba Mtumbwi ikikatiza maeneo ya Posta kama ilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto.
View Article*KITUO CHA MWENGE CHAENDELEA KUBOMOLEWA, ABIRIA WASOTA KUKOSA USAFIRI ASUBUHI
Vijana wakiendelea kubomoa Kituo cha Daladala cha Mwenge... Abiria wakitembea kwa miguu asubuhi ya leo kwa kukosa usafiri kama walivyozoea katika kituo cha Mwenge.... Muonekano baada ya kubomolewa...
View Article*MWILI WA TYSON WAAGWA RASMI VIWANJA VYA LEADERS, MATUKIO KAMILI YATAKUJIA...
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa, mchana ambapo baada ya zoezi hilo mwili huo utasafirishwa kuelekea nchi Kenya kwa maziko....
View Article*MWILI WA MAREHEMU GEORGE ‘TYSON’ WAAGWA KWA SIMANZI KUBWA
Monalisa akiaga mwili waaliyekuwa baba watoto wake, George Tyson, leo kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni. Mwili wa Tyson unatasafirishwa kuelekea Kenya kwa maziko.Mtoto wa Monalisa Sonia akitoa...
View Article