* KAMATI YA RUFANI YA UCHAGUZI KUKETI JUNI 9
Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inakaa Jumatatu (Juni 9 mwaka huu) kusikiliza rufani moja inayopinga uamuzi wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba.Michael Wambura...
View Article*“MPAKA SASA MAANDAMANO MENGI YAMEFANYIKA HAPA NCHINI”- SACP SIMON SIRRO.
Kamishina Mwandamizi wa Jeshi la Polisi nchini (SACP) Simon Sirro akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa makamanda wa Jeshi hilo nchini, mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na UNDP yana...
View Article* CECAFA HEADED FOR BETTER DESTINY -MUSONYE
COUNCIL OF EAST AND CENTRAL AFRICA FOOTBALL ASSOCIATIONSAffiliated to FIFA & CAF. Location: Nyayo stadium, Nairobi-Kenya Date: Wednesday 4th June 2014CECAFA headed for better destiny-MusonyeAs the...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya Sh. milioni 10, mshindi wa jumla katika kutunza na kuhidhadhi Mazingira, Leon...
View Article*VICTORIA UNIVERSITY ARE THE CHAMPIONS OF 2014 INAUGURAL CECAFA NILE BASIN...
Victoria players celebrate their victory. Victoria's Denis Okot going past AFC Leopards' Abdallah Juma during the final match.The champions also received a cash prize of USD 30,000. Victoria...
View Article*TANGAZO LA MSIBA WA ELIEWAHA KAJIRU MROKI
Ndugu Fredricky Kajiru Mroki wa Kipera-Kinyenze Morogoro, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake Eliewaha Kajiru (Pichani) kilichotokea alfajiri ya leo Nyumbani kwakwe Kipera. Mipango ya mazishi...
View Article*SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA BODI YA FILAMU TANZANIA KATIKA MSIBA WA GEORGE...
Katibu Bodi ya Filamu Bibi Joyce Fisoo akisoma salamu za rambirambi wakati wa kuuaga mwili wa aliyekua mtayarishaji wa filamu nchini George Otieno Okumu “Tyson” katika viwanja vya Leaders’ Kinondoni....
View Article*HATUJAFUTA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI-TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea taarifa za kutolewawito bungeni wa kulitaka litumie tiketi za elektroniki katika kukusanyamapato.Tunataka ieleweke wazi kwa umma wa Watanzania kuwa...
View Article*TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUNI 11 KUJIANDAA NA RAUNDI YA PILI YA MICHUANO...
Kikosi cha Taifa Stars kinaingia tena kambini Jumatano (Juni 11 mwaka huu) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika dhidi ya Msumbiji itakayochezwa Julai 20 mwaka...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA AFRIKA KUSINI LEO IKULU DAR...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane Ikulu jijini...
View Article*JOKA KUBWA AINA YA CHATU LILILOKUTWA LIKIRUDI NDANI YA NYUMBA YA...
Joka hilo kubwa aina ya Chatu likiwa nje ya Nyumba ya mfanyabiashara huyo, ambalo lilikutwa likiwa limefungwa Kitambaa cheupe kilichokuwa na maandishi ya Kiarabu, ambapo wananchi wamefananisha suala...
View Article*AJALI HAINA KINGA 'TUSUBIRI ASKARI APIME'
Gari aina ya Toyota Land Cruser na gari ndogo lenye namba za usajili T 843 CEM, yakiwa yamegongana katika barabara ya Bagamoyo eneo la Victoria. Ajali hii ilimshangaza kila aliyeiona kwani haikuweza...
View Article*ETI JAMANI HIVI HILI DARAJA LA KIGAMBONI LINAISHA LINI VILE????
Muonekano wa daraja la Kigamboni linaloendelea kujengwa...
View Article*LUPITA NYONG’O NA FAMILIA YAKE KUTUA TAMASHA LA 17 LA ZIFF
*Geneviveve Nnaji na John Dumelo nao ndani *Habib Koite, Didier Awadi kuburudisha*Filamu ya Mandela kufungua paziaMkurugenzi Mkuu wa ZIFF, Profesa Martin Mhando (wa pili kulia) akizungumza na waandishi...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa ubora wa Mazingira na Usalama Kazini, Peter Simon, kuhusu jinsi wanavyo...
View Article*TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA GEBO PETER
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Simba na Taifa Stars, Gebo Peter kilichotokea usiku wa kuamkia leo (Juni 6 mwaka huu) katika...
View Article*BALOZI IDDI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIVUNGE NA TUMBATU KUHUSU MATATIZO YA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kivunge kuhusu hitilafu za uvuvi kati ya Kijiji hicho na Tumbatu katika uwanja wa michezo wa Good Hope Mkwajuni...
View Article*MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO WAASWA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU TAASISI ZAO...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifurahia jambo na Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Kulia kwake...
View Article*KINANA NA UCHIMBAJI MDOGO MERERANI
Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite kwenye machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro, Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmahn Kinana vifaa vya kisasa vya uchimbaji madini...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA KONGAMANO LA VIONGOZI WA MIJI LA KUJADILI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifunga rasmi Kongamano la Viongozi wa Miji, lililokuwa likijadili Mipango endelevu na Utekelezaji wa...
View Article