Gari aina ya Toyota Land Cruser na gari ndogo lenye namba za usajili T 843 CEM, yakiwa yamegongana katika barabara ya Bagamoyo eneo la Victoria. Ajali hii ilimshangaza kila aliyeiona kwani haikuweza kufahamika kuwa dereva wa Cruser aliyekuwa ni mwanamke kuwa alikuwa akitokea wapi au alikuwa akiingia barabara kubwa kwa staili gani.
↧