Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KITAIFA MKOANI MWANZA, ATOA TUZO ZA WASHINDI WA USIMIAJI USAFI WA MAZINGIRA.

$
0
0
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya Sh. milioni 10, mshindi wa jumla katika kutunza na kuhidhadhi Mazingira, Leon Nombo, mkazi wa Wilaya ya Mbinga, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo Juni 5, 2014. 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Mazingira wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Makuru Nyarobi, wakati Makamu alipotembelea Banda la ofisi yake katika maonyesho ya sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa, Mwanasheria wa Ofisi ya Makamu wa Rais,  Neemiah Mandia, wakati Makamu alipotembelea Banda la ofisi yake katika maonyesho ya sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Mkuu Mwandamizi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Isaria Mangalili, wakati Makamu alipotembelea Banda la ofisi yake katika maonyesho ya sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Ngao, mshindi wa jumla katika kutunza na kuhidhadhi Mazingira, Leon Nombo, mkazi wa Wilaya ya Mbinga, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Wilaya ya Ilemela, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza leo, Juni 5, 2014. Katika Kilele hicho Makamu wa Rais alitoa tuzo na kukabidhi vyeti kwa washindi wa Usafi wa Mazingira kuanzia Vjiji hadi Halmashauri za mikoa mbalimbali ya nchini.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kikombe cha mshindi wa kwanza wa usafi wa Mazingira kwa Majiji makubwa, Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza,  Stanslaus Mabula, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kikombe cha mshindi wa kwanza wa usafi wa Mazingira kwa Manispaa za Jiji la Dar es Salaam, Naibu Meya wa manispaa ya Kinondoni, Songolo Mnyonge, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Peter Tweve, 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti Mwakilishi wa moja ya kijiji kilichpo Wilaya ya Njombe.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ujumbe wa siku ya mazingira kutoka kwa wanamuziki wa bendi ya Mjomba, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Maji wa Wizara ya Maji, Hamza Sadiki, wakati alipotembelea katika Banda la Wizara ya Maji katika maonyesho ya Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Kinamama kutoka Halmashauri 43 za Tanzania, Paulina Kajura, kuhusu utengenezaji wa Mkaa kwa kutumia Taka wakati alipotembelea katika banda la Kinamama hao katika maonyesho ya Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo.
Makamu wa rais Dkt. Bilal akizungumza wakati wa Kilele cha maadhimisho ya sherehe hizo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo.
 Wasanii wa Kikundi cha sanaa cha Kanda ya Ziwa, wakitoa burudani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>