*SPIKA MAKINDA AFUNGUA GYM YA MAZOEZI YA BUNGE KWA AJILI YA WABUNGE
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiangalia baadhi ya wananchi waliofika kufanya mazoezi katika GYM ya Bunge baada ya kuizindua rasmi katika viawanja vya Bunge. Kulia ni mfanyakazi wa GYM hiyo Ndg....
View Article*SERIKALI YASHAURI WADAU WA MICHEZO KUJITOKEZA KUSAIDIA MICHEZO NCHINI
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kupokea msaada wa hundi ya milioni kumi kutoka Zantel kwa ajili...
View Article*RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MFANYAKAZI WA IKULU...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakijumuika na waombolezaji wengine katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu...
View Article*MKAZI WA SINZA KUONA KOMBE LA DUNIA KUPITIA PROMOSHENI YA KWEA PIPA NA TBC
Mkazi wa Sinza kuona Kombe la Dunia kupitia promosheni ya Kwea Pipa na TBC.Na Mwandishi Wetu, DarPromosheni ya Kwea Pipa na televisheni ya Taifa ya TBC kwa kushirikiana na kampuni ya Push Mobile...
View Article*TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA KANALI MWANAKATWE
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wake (wakati huo ikiitwa FAT), Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe kilichotokea leo asubuhi (Juni 7...
View Article*MZEE SMAL AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA MUIGIZAJI MKONGWE WA MAIGIZO NCHINI,SAID NGAMBA MAARUFU KWA JILA LA MZEE SMALL, AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI...
View Article*KIJITONYAMA VETERANS YATII KIPIGO CHAMABAO 3-1 BILA SHURUTI DHIDI YA WAUKAE...
Kikosi cha timu ya Kijitonyama Veterans, ambacho hii leo kimekubari kipigo cha mabao 3-1 bila shuruti kutoka kwa wapinzani wao, Waukae Veterans, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo asubuhi katika...
View Article*MZEE SMALL KUZIKWA KESHO
Baadhi ya wasanii na waombolezaji wakimfariji mtoto wa Marehemu Mzee Small, Mahamudu Said (Kulia) , wakati walipofika nyumbani kwa marehemu maeneo ya Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam, leo jioni kwa...
View Article*RAIS KIKWETE AZINDUA HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI NA...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani...
View Article*MATUKIO KATIKA PICHA MBUNGE WA ARUMERU, JOSHUA NASSARI ALIVYOUAGA UKAPERA...
Maharusi wakiwa katika gari la wazi wakipunga mikono kuwasalimia watu waliokuwa wakishuhudia msafara wa maharusi hao. Msafara wa maharusi ukitoka Kanisani baada ya ibada maalumu ya ndoa............
View Article*NAPE NNAUYE ALIPOZUNGUMZA NA WANACHAMA WA CCM TAWI LA SAUT MWANZA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM Tawi la SAUT Kambarage ambapo aliwaambia kuwa wasomi wa vyuo wanatakiwa kuchangia mawazo yao kwenye chama ambayo yatasaidia...
View Article*SHERIA NGOWI BRAND PROUDLY OFFICIAL DESIGNER OF DIAMOND @MTV MAMA
Diamond Platinumz and Wema Sepetu.Being nominated in an internationally recognized award worldwide, is a sign of hardworking and thirst to achieve more.You are really flying our Tanzanian flag globally...
View Article*SIKU YA MSANII YAZINDULIWA JIJINI DAR SASA KUANZA KUADHIMISHWA OKTOBA 25...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akipiga Gitaa wakati wa hafla ya uzinduzi wa Siku ya Msanii itakayokuwa ikiadhimishwa tarehe 25 Oktoba kila mwaka. Waziri wa...
View Article*NAPE AWAPOTEZA WAPINZANI CHUO KIKUU CHA SAUT MWANZA
Zaidi ya Watu 420 wajiunga na CCMWanachuo SAUT waahidi kudumisha Umoja wao na Ushirikiano Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wanachama wa Tawi la CCM SAUT Kambarage na wananchi wa...
View Article*CFAO YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WAMILIKI WA MALORI YA MERCEDES BENZ NCHINI
Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star...
View Article*MSAADA WA MATIBABU KWA MTOTO MAIMUNA YAHYA
Pichani ni Mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya akiwa na Mama yake Mzazi Tunu Juma **********************Msaada wa Matibabu kwa mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya (11) anayesoma shule...
View Article*BALOZI MPYA WA MAREKANI AJITAMBULISHA KWA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzani, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...
View Article*TAMKO LA WABUNGE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Mwenyekiti wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Adam Kimbisa akitoa tamko la wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)...
View Article*MBUNGE WA MKULANGA AMWAGA MSAADA KWA WAJASILIAMALI JIMBONI KWAKE
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, Shabani Mandai,(katikati) akishuhudia vijana wake wakiunganisha cherahani, baada ya kupokea msaada wa cherahani 20 kwa...
View Article*SHULE YA SEKONDARI YA WAMA-NAKAYAMA YAPATIWA MSAADA WA BASI
Anna Nkinda – MaelezoShule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama inayomilikiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepatiwa msaada wa basi na kampuni ya Ashok Leyland ya jijini Dar es...
View Article