Baadhi ya wasanii na waombolezaji wakimfariji mtoto wa Marehemu Mzee Small, Mahamudu Said (Kulia) , wakati walipofika nyumbani kwa marehemu maeneo ya Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam, leo jioni kwa ajili ya kuwafariji wafiwa. Marehemu Mzee Small, anatarajia kuzikwa kesho, Jijini Dar eS Salaam.