Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAHAKAMA YAMTIMUA WAZIRI MKUU WA LIBYA

Ahmed Maiteg anaungwa mkono na makundi ya WaislamuMahakama ya juu nchini Libya imesema kuwa kuchaguliwa kwa Ahmed Maiteg kama waziri mkuu mwezi uliopita ulikiuka katiba ya taifa hilo.Maiteeg...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MHUBIRI MWINGINE AUAWA NCHINI KENYA

Muhubiri wa kiisilamu ameuawa mjini mombasa pwani ya Kenya , ikiwa ni mauaji ya hivi karibuni ya kiongozi mwingine wa kidini.  Sheikh Mohammed Idris, ambaye ni mwenyekiti wa baraza la maimamu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WATU 23 WAUAWA SHAMBULIZI LA UWANJA WA NDEGE WA PAKISTANI

Wanajeshi wa Pakistan wakiwa kwenye uwanja wa ndege wa Karachi kukabiliana na washambulizi.Mapambano ya risasi yaliyodumu saa tano katika uwanja wa mji mkubwa zaidi nchini Pakistani ,Karachi yamewauwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMIA WAMZIKA MSANII MKONGWE WA MAIGIZO NCHINI SAID NGAMBA ALMAARUFU MZEE...

 Msafara wa magari na waendesha Bodaboda wakiwa katika barabara ya Segerea Kinyerezi wakati wakielekea Makaburi ya Segerea kwaajili ya Kumpumzisha Kwa Amani Mkongwe wa Sanaa ya Vichekesho Nchini Said...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TIMU YA VIJANA WA ZANZIBAR UK (UNDER 18) YATINGA FAINALI YA AFRICAN NATIONS...

Vijana wetu wa Timu ya Zanzibar Wanaoshiriki Africa Nations Cup -UK wenye chini ya Umri wa miaka 18 wameingia Final Baada ya kuifunga Morocco 8-0 Jumamosi jioni. Final itakuwa Saturday, 14th. June,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BONDIA KING CLASS MAWE AREJEA NA UBINGWA WA WPBF, AMCHAPA MZAMBIA KWA K/O

Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Venance Mwamoto (kushoto) akipozi na Bondia Ibrahimu ‘King Class Mawe’ na mashabiki wake baada ya kumpokea aliporejea nchini na mkanda wa WPBF, kwa kumchapa mpinzani wake....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HABARI KUTOKA TFF LEO: KARIA KUFUNGUA KOZI YA MAKOCHA LEO

*KARIA KUFUNGUA KOZI YA MAKOCHA LEOMakamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kocha ya makocha wa mpira wa miguu ya Leseni B...

View Article

*MSIKILIZE DOVA MCHESHI AKIWA KWENYE JUKWAA LA CCM MWANZA

Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Cha SAUT Mwanza Ndugu Dova Mcheshi amejiunga na CCM na haya ni machache aliyosema kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Nyamalongo ,Mwanza.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MHE. WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF SOSPETER MUHONGO NA UJUMBE WAKE...

 Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo akiongea machache na kumshukuru Mhe. Balozi Liberata Mulamula kwa makaribisho mazuri na kuelezea sababu ya ujio wake nchini Marekani ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMPUNI YA NEW HABARI YACHEZESHA DROO YA TWENZETU BRAZIL.

 Mhariri Mwandamizi wa gazeti la The African Balinagwe mwambungu akichagua kuponi ya mshindi wa promosheni ya mshindi wa promosheni ya Twenzetu Brazili( Picha zote na Humphrey Shao) Mhariri Mtendaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI YA...

  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais wa Shirika la International Health Partiners (IHP)-JEMA Tanzania, Mama Mary Ellen Kitundu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AZINDUA CHAPISHO LA TATU LA TAARIFA ZA SENSA.

 Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SHEREHE YA UZINDUZI WA LIFTI YA KWANZA KATIKA GHOROFA JIJINI MBEYA YAFANA

 Tangazo la uzinduzi wa Lift ya kwanza mkoani Mbeya kama linavyoonekana ili kuhamasisha wananchi kuhudhuria ili kushuhudia. Lifti hiyo ikizinduliwa rasmi kuanza kutumika leo jijini Mbeya. Lifti hiyo ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUFANI YA WAMBURA KUPINGA KUENGULIWA KUGOMBEA URAIS KUTANGAZWA KESHO.

Uamuzi kuhusu rufani ya Michael Wambura kupinga kuenguliwa kugombea nafasi ya Rais utatangazwa kesho (Juni 11 mwaka huu) saa 6 kamili mchana na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya TFF, Wakili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ATHARI YA VITA VYA KIDINI CAR

Baadhi ya nyumba za wananchi zilizoachwa na wananchi waliokimbia mapigano hayo.Mpiga picha Ton Koene alizuru Jamuhuri ya Afrika ya kati kwa mara ya kwanza miaka minane iliyopita, lakini mapema mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ULIOMBA KAZI SERIKALINI? TAZAMA JINA LAKO HAPA HILI NI TANGAZO LA KUITWA...

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA.Kumb. Na EA.7/96/01/G/25 07 Juni, 2014TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILIKatibu wa Sekretarieti ya Ajira katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI AJITAMBULISHA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi wa Marekani  nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MASHINDANO YA NGOMA ZA ASILI TABORA

Meneja wa  Mauzo wa TBL Robert Kaziwa akikabidhi  zawadi ya kitita cha shilingi laki Sita kwa mshindi wa kwanza wa mashindano ya Ngoma za Asili mkoa wa Tabora ambao ni Magereza Arts Group.Mshindi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MSASA CHAPISHO LA SENSA

  Afisa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, kutoka Ofisi wa Taifa ya Takwimu(NBS)Veronica Kazimoto akitoa mada juu ya majukumu ya vyombo vya habari kwa waandishi wa habari katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

* WAKULIMA WADOGO WAASWA KEPUKA MATUMIZI YA KEMIKALI ZENYE ATHARI KWA...

 Mshindi wa tuzo mbalimbali na mwanaharakati wa mazingira duniani Dkt.Vandana Shiva kutoka nchini India akisisitiza jambo kuhusu umuhimu wa wakulima wadogo ambao wanazalisha 70% ya chakula...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>