Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*SHEREHE YA UZINDUZI WA LIFTI YA KWANZA KATIKA GHOROFA JIJINI MBEYA YAFANA

$
0
0
 Tangazo la uzinduzi wa Lift ya kwanza mkoani Mbeya kama linavyoonekana ili kuhamasisha wananchi kuhudhuria ili kushuhudia.
 Lifti hiyo ikizinduliwa rasmi kuanza kutumika leo jijini Mbeya. Lifti hiyo ni kitu adimu kwa jiji la mbeya na hasa kutokana na jiji hilo kukosa maghorofa marefu.
ikijaribiwa baada ya uzinduzi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>