*MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA KWANZA LA VITABU VYA...
Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.Na Mwandishi wetuWANAFUNZI wa shule za Msingi nchini,...
View Article*WANNE WANYAKUA ZAWADI YA SHINDA KI-BRAZIL NA MWANASPOTI
Meneja Masoko wa Mwananchi Communications Ltd (MCL) wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti, Bernard Mukasa akizungumza kwa njia ya simu katika ofisi za MCL jijini Dar es...
View Article*TASAF YAENDESHA WARSHA ELEKEZI KWA WATEKELEZAJI WA PSSN.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii -TASAF- Ladislaus Mwamanga amewataka watumishi wa Mfuko huo kuongeza kasi ya uwajibikaji katika kufanya kazi ili mpango wa kunusuru kaya maskini na...
View Article*DCI MNGULU KUONGOZA TIMU YA WAPELELEZI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA WIZI KATIKA...
Na Allan Ntana wa Globu ya Jamii, Tabora MKUU wa Jeshi la Polisi hapa nchini IGP Ernest Mangu ameteua timu ya askari polisi wataochunguza tuhuma za wizi wa fedha za wakulima wa zao la tumbaku katika...
View Article*WADAU WA SHUGHULI ZA UZALISHAJI NA UTAFUTAJI GESI,MAFUTA WATOA MAONI RASIMU...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava ( Wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa shughuli za utafutaji na uzalishaji gesi na mafuta mara baada...
View Article*RAIS KIKWETE ATEUA MANAIBU BALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Naibu Mabalozi wawili.Walioteuliwa ni Bw. Robert Kahendaguza (pichani kushoto) anayekuwa Naibu Balozi, Ubalozi wa...
View ArticleHOTUBA YA WAZIRI WA FEDH MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILISHA...
MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILI BUNGENI MJINI DODOMA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15 LEO. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,...
View ArticleSOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR LILIVYOTEKETEA KWA MOTO LEO
Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia...
View Article*THE BIG MACH FOR TODAY FIFA WAORLD CUP 2014 BRAZIL vs CROATIA, STAY TUNE
Brazil.After four years of waiting since the last World Cup tournament in South Africa, the 2014 FIFA World Cup Finals are here. Whether you are a soccer fan or not, you can’t help to notice the...
View Article*BRAZIL BOUNCE BACK FROM AN EARLY GOAL, DEFEAT CROATIA 3-1 FIFA WORLD CUP 2014
Brazilian Poster Boy,Neymar celebrating his second goal agaist Croatia. Photo APArena De Sao Paolo was packed. You’d think you have somehow walked into the sunflower farm because of the yellow colors...
View Article*TANZIA: BONDIA WA ZAMANI IRAQ HUDU AFARIKI DUNIA LEO, KUZIKWA KESHO KISUTU...
Marehemu Iraq Hudu (kulia) enzi za uhai wake akiwa na mwanae Daniel Hudu siku kijana wake huyu alipokula nondozzz yake katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Novemba mwaka jana.Daniel na familia yake...
View Article*MLIMANI CITY YAUZWA KWA WAKENYA WA NAKUMATI, WABONGO WAKANYAGANA KUNUNUA...
Makundi makubwa ya watu yanaonekana yametapakaa katika eneo la shopping mall ya Shoprite ndani ya Mlimani City jijini Dar muda huu,baada ya Super Market mpya ya NAKUMAT iliyoinunua Shoprite kuamua...
View Article*WAFANYABIASHARA WA MCHIKICHINI WAANZA KUJENGA WENYEWE SOKO LAO LILILOUNGUA JANA
Baadhi ya wafanyabiashara wa nguo na bidhaa nyingine katika Soko la Mitumba Ilala Mchikichini, Jijiji Dar es Salaam, wameanza kujenga upya soko lao lililoteketea kwa moto jana.
View Article*PUKU YATUA RASMI BONGO
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUKU,Bwa.Meck Mbwana akizungumza kuhusiana na bidhaa hiyo,mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani),mapema leo jijini Dar.Pichani wa pili kulia ni Mwanamitindo...
View Article*WABRAZILI WALIOPO TANZANIA WASHEREKEA UZINDUZI WA KOMBE LA DUNIA.
Balozi wa Brazili hapa Tanzania Bw Frcisco Carlos akibadilishana mawazo na Rosalie Lehel kutoka IFAD ambaye alikuwa miongoni mwa wageni walio alikwa katika kusheherekea uzinduzi wa kombe la dunia...
View Article* TIPER YAIKABIDHI SERIKALI GAWIO LA SHILINGI 1,275,000.00.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yenye thamani ya sh. Bilioni moja kutoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza...
View ArticleTFF KUIUNGA MKONO ROLLYSTONE KUFANIKISHA MASHINDANO YA JUMUIYA YA AFRIKA...
Shirikisho la kandada nchini Tanzania (TFF) limeingilia kati kuokoa mashindano ya vijana ukanda wa maziwa makuu ambayo yalikuwa hatihati kufanyika na sasa yataendeshwa kwa kushirikiana na waratibu wa...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AENDA UINGEREZA LEO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP...
View Article*MEXICO YAICHAPA CAMEROON BAO 1-0
Mfungaji bao la Mexico Oribe PeraltaMexico yajikita katika nafasi ya pili ya Kundi A nyuma ya Brazil baada ya ushindi wa bao moja kwa nunge dhidi ya wawakilishi wa Afrika the Indomitable lions ya...
View Article