Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MUHIMBILI SASA KAMILI KUTOA HUDUMA ZA UPASUAJI, INDIA BASI TENA!!!!!!

$
0
0
 Madaktari Bingwa kutoka Chuo Kikuu cha Afya cha Alexandria nchini Misri, pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakimfanyia upasuaji mmoja wa watoto aliyetakiwa kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu jijini Dar es Salaam juzi, ambapo sasa Hospitali ya Muhimbili imeanza kutoa huduma hiyo baada ya kupata vifaa na kitengo maalum cha upasuaji.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>