*KATIBU MKUU WA YANGA AFARIKI DUNIA LEO
Katibu mkuu wa zamani wa Yanga, George Mpondela amefariki dunia.Taarifa zinaeleza Mpondela aliyekuwa maarufu kama Castro amefariki dunia leo kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili.Uongozi wa Yanga...
View Article*SAUTI SOL WAFUNIKA TAMASHA LA ZIFF 2014
MOJA ya vitu ambavyo wazanzibari watakumbuka ni jinsi kundi la Kenya ambalo hivi karibuni liliibuka kundi bora katika MTV Base lilivyovamia jukwaa na kuendesha shoo ya saa moja na nusu iliyokuwa na...
View Article*NAPE ATINGISHA JIMBONI KWA MNYIKA, UBUNGO DAR
*ASEMA CHADEMA SASA INAKUMBATIA UKAWA KUJARIBU KUPOZA MIGOGORO YA NDANI INAYOKIMALIZA.*ATABIRI MAISHA YA CHADEMA KUKOMA BAADA YA AJENDA YA KATIBA MPYA KUMALIZIKA.*ASEMA, 'PANGO' LA MYIKA UBUNGO...
View Article* USIKU WA WANAWAKE WA TANZANIA WAFANA, BALOZI AWAFAGILIA TANO LADIES.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili kwenye ukumbi wa Martin's Crosswinds uliopo Greenbelt, Maryland kwenye usiku wa Wanawake wa Tanzania ulioratibiwa na kikundi cha...
View Article*NMB YATWAA KOMBE,YAWACHAPA WABUNGE MABAO 4-0
Makombe yapotayari kwaajili ya Kukabidhiwa kwa Mshindi Upande wa Mpira wa pete na Mpira wa Miguu kati ya Wafanyakazi wa NMB DODOMA na timu za Bunge za Pete na Mpira wa Miguu.Mh:Lukuvi akiwa benchi la...
View Article*MUHIMBILI SASA KAMILI KUTOA HUDUMA ZA UPASUAJI, INDIA BASI TENA!!!!!!
Madaktari Bingwa kutoka Chuo Kikuu cha Afya cha Alexandria nchini Misri, pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakimfanyia upasuaji mmoja wa watoto aliyetakiwa kupelekwa nje ya nchi kwa...
View Article*SADIQ AL MAHDI AACHIWA HURU SUDAN
Sadiq al-Mahdi Wakuu wa Sudan wamemuachilia huru kiongozi wa chama Kikuu cha upinzani, Sadiq al-Mahdi, ambaye alikamatwa mwezi uliopita kwa mashitaka ya kuchochea chuki dhidi ya Taifa la Sudan.Adhabu...
View Article*ARGENTINA ILIVYOWAADHIBU VIBONDE BOSNIA MABAO 2-1
Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Argentina bao la pili. Messi ameifungia Argentina bao katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Bosnia-Herzegovina, ambao ni washiriki wa michuano hiyo mikubwa...
View Article*RAMBIRAMBI MSIBA WA GEORGE MPONDELA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, George Mpondela kilichotokea jana (Juni 15 mwaka huu) katika Hospitali ya Taifa...
View Article*EXTRA BONGO KUPAMBA REDD'S MISS PWANI
Bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo inayoongozwa na mwanamuziki mkongwe nchini Camarade Ally Choki ndiyo itakayopamba shindano la Redd’s Miss Pwani lililopangwa kufanyika juni 27 2014 katika...
View Article*JE NI SAWA KUMNYONYESHA MTOTO HADHARANI?
Akina mama wakiwanyonyesha watoto waoFacebook imekuwa ikizua gumzo kuhusu sera na masharti yake ya kuweka picha kwa wanaotumia mtandao huo.Hivi karibuni, ilikosolewa kwa kuondoa picha ya wapenzi wawili...
View Article*HAKIKISHENI TUNAKUWA NA CHAKULA CHA KUTOSHA DKT. BILAL AWAAMBIA G77+CHINA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya nchi za G77 na China, uliofanyika jijini Santa Cruz, Bolivia...
View Article*RAIS AL SISI AMJULIA HALI MWANAMKE ALIYEONYESHWA KWENYE MKANDA WA VIDEO...
Mwanamke aliyeonyeshwa kwenye kanda akibakwa atembelewa na Rais Al SisiMisri imeomba mtandao wa kijamii wa You Tube kuondoa video ya mwanamke akinyanyaswa kimapenzi katika mkutano wa kisiasa...
View Article*UDA YASISITIZA NIA YAKE YA KUBORESHA USAFIRI JIJINI DAR ES SALAAM
KAMPUNI ya Simon Group Limited imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la...
View Article*WANACHAMA WA UVCCM MOROGORO WAKIMKATAA MWENYEKITI WAO KWA MABANGO MBELE YA...
Baadhi ya wajumbe wa UVCCM wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kumpinga mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Moro Bi. Erieth Suta Wajumbe kutoka Wilya ya Gairo Kamanda wa UVCCM akisoma moja ya mabango hayo,...
View Article*MBASHA APANDISHWA KIZIMBANI KUJIBA MASHITAKA MAWILI LIKIWEMO LA UBAKAJI
Mbasha akiwa na mkewe, Flora, wakiwa na furaha kabla ya bifu lao siku za nyuma.********************************************** Na Mwandishi Wetu, Dar MUME wa msanii wa muziki wa Injili, nchini Flora...
View Article*MAANDALIZI YA MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU MATUNDA YA TEKNOLOJIA MPYA YA...
Mhadhiri Mwandamizi katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC) Charles Irigo (katikati) ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya mkutano wa kimataifa kuhusu matunda ya...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KUMPOKEA MAKAMU WA RAIS WA CHINA JUNI 22
Balozi wa China nchini, Lu Youging (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Li Yuanchao katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari...
View Article*JAPAN YATOA BILIONI 24 KUSAIDIA BAJETI YA SERIKALI
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akibadilishana hati ya mkataba wa mkopo uliotolewa na Serikali ya Japani kwa Tanzania, hafla hiyo ilifanyika leo mjini Dodoma. Kulia ni Balozi wa Japan...
View Article*INNOCENT MELLECK ASIMIKWA KUWA NAIBU KAMANDA WA UVCCM WILAYA YA MOSHI VIJIJINI.
Innocent Melleck akikaribishwa na chipukizi katika uwanja wa Ghala -Himo wilaya ya Moshi vijijini kwa ajili ya kusimikwa kuwa naibu kamanda wa UVCCM katika wilaya hiyo.Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini...
View Article