Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

SERIKALI IMEPIGA MARUFUKU UVUTAJI WA SHISHA.

$
0
0

Uvutaji wa Shisha ni sawa na uvutaji wa sigara kulingana na madaktari,Serikali imepiga marufuku uvutaji wa Shisha.Uraibu huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo hutiwa ndani ya chupa kubwa na kuvutwa kwa mirija, umeshika kasi sana nchini hasa miongoni mwa vijana wadogo hapa jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya watu wanaiona Shisha kama isiyokuwa na madhara ya kiafya ikilinganishwa na uvutaji wa Sigara.
Lakini wataalamu wanaamini kuwa uvutaji wa Shisha kwa muda wa saa moja ni sawa na kuvuta sigara miamoja.
Madaktari walitoa onyo kuhusu uvutaji wa Shisha wanakabiliwa na tisho la kuugua Saratani sawa na hatari inayowakabili wavitaji wa sigara.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>