Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

* INNOCENT NGANYAGWA KUTUMBUIZA TAMASHA LA ZIFF 2014 USIKU HUU NDANI YA...

Mwanamuziki Mkongwe wa Rege nchini, Innocent Nganyagwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na show yake kwenye tamasha la ZIFF 2014 usiku wa leo ndani ya ukumbi wa Mambo Club...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAPIGANAJI WAVAMIA KITUO CHA MAFUTA IRAQ

Wapiganaji wa madhehebu ya SunniWapiganaji wa madhehebu ya Sunni wamekishambulia kiwanda kikubwa mno cha kusafisha mafuta katika mji wa Baiji, Kaskazini mwa Iraq kwa kutumia mizinga na makombora.Duru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WATU 330 WAFARIKI KUTOKANA NA UGONJWA WA EBOLA.

Watu zaidi ya 300 wamefariki kutokana na EbolaMlipuko wa Ugonjwa wa Ebola Mgharibi mwa Afrika umesababisha vifo vya watu 330 tangu mwezi Februari.Takwimu hizo mpya zilizotolewa na shirika la afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI IMEPIGA MARUFUKU UVUTAJI WA SHISHA.

Uvutaji wa Shisha ni sawa na uvutaji wa sigara kulingana na madaktari,Serikali imepiga marufuku uvutaji wa Shisha.Uraibu huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo hutiwa...

View Article

*ENJOY DO YOU KNOW JOHN?, WERE IS MY JOHN?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WASHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KANDA YA PWANI WAPATIKANA NA...

 Majaji wakiwa kazini katika Shindano lililofanyika Kanda ya Ziwa Mkoani Mwanza.Picha na Maktaba.*********************Na Josephat Lukaza - Dar Es SalaamShindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR

Baadhi ya washiriki wa mashindano ya resi za Ngalawa wakijiandaa tayari kwa kuanza mashindano hayo katika shamra shamra za tamasha la 17 la ZIFF 2014 linaloendelea visiwani Zanzibar. Picha na Zainul...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PRIMIA YA AFRIKA YA "HALF OF A YELLOW SUN" YAFANYIKA ZANZIBAR

Dairekta wa filamu ya Half of a Yellow Sun, Biyi Bandele akizungumza na wadau wa sinema kabla sinema yake hajafanyiwa Primia ya Afrika mjini Zanzibar. Kushoto ni mratibu wa majaji ZIFF, Fabrizio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DEREVA ASIYEFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI AVUNJA DARAJA LA KINYEREZI

Wakazi wa Kinyerezi, wakishangaa ajali ya Roli lililovunja daraja kutokana na uzito wa gari hilo jana. Sasa wakazi wa Kinyerezi watalazimika kutumia njia ya Segerea na Mongolandege.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HABARI KUTOKA TFF, TFF, PLAN INTERNATIONAL KUHAMASISHA HAKI ZA MTOTO

*TFF, PLAN INTERNATIONAL KUHAMASISHA HAKI ZA MTOTOWakati mamilioni ya Watanzania wakifuatilia Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil, Shirika la kutetea haki za watoto la Plan International limeingia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MZUNGU KICHAA NA RICO SINGLE KUWAPAGAWISHA WAZANZIBAR TAMASHA LA ZIFF USIKU...

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI IDDI AZUNGUMZA NA WAANDAAJI WA TAMASHA LA ZIFF

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Uongozi wa Tamasha la Kimataifa la Zanzibar (ZIFF) uliofika ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Balozi Seif akibadilishana na Mtayarishaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BARAZA LA WAZEE KANISA LA MORAVIAN TABATA LAWATOA HOFU WAUMINI, LAKANUSHA...

Na. Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es salaam.Uongozi wa Baraza la wazee wa Kanisa la Moravian usharika wa Tabata jijini Dar es salaam umekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAREMBO WA SHINDANO LA MISS PWANI 2014 WATEMBELEA OFISI ZA TANZANIA DAIMA,...

 Mwandaaji wa shindano la Miss Pwani 2014, Khadija Kalili (kulia) akiwapanda warembo wake kwa ajili ya kupata picha baada ya kufanya ziara kwenye Ofisi za Gazeti la Tanzania Daima, leo mchana. Shindano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SASA WASHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUANZA KUPIGIWA KURA NA...

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Proin Promotions katika Mradi wa Kusaka vipaji vya Kuigiza Nchini TMT (Tanzania Movie Talents) wakishangilia kwa kufungua Mvinyo usio na kilevi mara baada ya kumaliza zoezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAADHIMISHO YA SIKU YA SIKO SELI DUANIANI YAFANYIKA DAR KWA UZINDUZI WA...

 Mkurugenzi wa Idara ya Uboreshaji Afya wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Dk Sarah Maongezi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kliniki ya watoto wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sikoseli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKOCHA TUMIENI UJUZI WENU TUWEZE KUFIKA MBALI- RAIS MALINZI

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka makocha wa mpira wa miguu wafanyie kazi kwa vitendo mafunzo wanayopata badala ya kuweka makabatini maarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI IDDI AKABIDHI MASHUA NA SH. M 4 KUWAFIDIA WAVUVI WA KUVUNGE BAADA YA...

 Mashua ya Riziki zina mola iliyonunuliwa na Serikali kulipwa fidia wavuvi wa Kijiji cha kivunge kufuatiwa mashua yao kuchomwa moto katika kisiwa cha Tumbatu.  Balozi Seif akimkadhi rasmi mashua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AJALI ZA JIJINI DAR LEO, DALADALA LA TEGETA-UBUNGO LAUA SITA NA KUJERUHI 14

 Watu Sita wamepoteza maisha katika ajali ya gari (daladala) iliyogongana na Lori eneo la Makongo jijini Dar es Salaam, mchcna wa leo na wengine 14 kujeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Lugalo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SIMBA RUKSA KUENDELEA NA UCHAGUZI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kupokea na kuzingatia maombi ya Simba (barua imeambatanishwa), na kwa kuzingatia Ibara ya 26 ya Kanuni za Uchaguzi za TFF toleo la 2013 limeiruhusu...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>