$ 0 0 Wakazi wa Kinyerezi, wakishangaa ajali ya Roli lililovunja daraja kutokana na uzito wa gari hilo jana. Sasa wakazi wa Kinyerezi watalazimika kutumia njia ya Segerea na Mongolandege.