$ 0 0 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wakaguzi wa Hesabu za Serikali uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro