Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Pwani, Zainabu Matitu Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani,Dk. Happiness Ndossi baada ya kukabidhi mashine ya kufuria nguo za wagonjwa, Mashuka, pamoja na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya Hospitali hiyo vyote vikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 6.5.
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Pwani, Zainabu Matitu Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani,Dk. Happiness Ndossi baada ya kukabidhi mashine ya kufuria nguo za wagonjwa, Mashuka, pamoja na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya Hospitali hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kukabidhi mashine ya kufulia nguo za wagonjwa katika Hospitali ya Kisarawe mkoani Pwani, iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum, Zainabu Matitu Vullu.
Mashine iliyokabidhiwa kwa Hospitali ya Kisarawe mkoani Pwania na Mbunge wa viti maalum, Zainabu Mattiti Vullu.
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe,Dk. Happiness Ndossi akionyesha moja ya shuka zilizotolewa na Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Pwani, Zainabui Matiti Vullu kwa ajili ya Hospitali ya Kisarawe pamoja na mashine mpya ya kufulia nguo za wagonjwa na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya kubebea wagonjwa.