*BALOZI IDDI AUAGIZA UONGOZI WA UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR KUWA WABUNIFU ILI...
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza kutoa maagizo kwa Uongozi wa Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanziba  { ZIA } kuwa wabunifu katika kutoa huduma...
View Article*WAANDISHI KUPEWA SOMO KUHUSU VITA DHIDI YA UPANGAJI MATOKEO
Taasisi moja kutoka Uingereza inayohusika na kampeni dhidi ya upangaji matokeo kwenye mpira wa miguu (match fixing) itafanya uwasilishaji (presentation) juu ya suala hilo kwa waandishi wa habari za...
View Article*MAFUNZO YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI YATOLEWA MKOANI MBEYA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeendesha mafunzo ya matumizi ya tiketi za elektroniki kwa wadau wa mpira wa miguu mkoani Mbeya.Mafunzo hayo yamefanyika jana na leo (Julai 4 mwaka huu)...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ABDULRAHMAN KINANA NA RAIS MSTAAFU, ALI HASSAN...
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu kufanya mazoezi katika mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA MWANA WA MFALME WA JAPAN
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino alipowasili Ikulu mjini Zanzibar leo akifuatana na Mkewe...
View Article*TANZANIA TO LOSE UP TO $1B UNDER STAT OIL PSA: Open these Oil and Gas...
Zitto Kabwe, MPWhen news of the leaked Production Sharing Agreement (PSA) between Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and Norweigean State Company StatOil came out through social...
View Article*MWENYEKITI WA BODI YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, RAMADHAN KIJJAH AVUTIWA NA...
Mwenyekiti wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kutembelea banda la PPF ili kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wa PPF katika...
View Article*RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WANNE...
 Rais Dkt. Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Malaysia nchini Tanzania Mheshimiwa Ismail Salem. Baada ya kupokea rasmi hati hizo Rais Dkt. Kikwete alifanya...
View Article*BARABARA YA JUU YAANGUKA NCHINI BRAZIL KWENYE MJI MWENYEJI WA MASHINDANO YA...
Mtu mmoja amethibitishwa kufariki Dunia na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa vibaya baada ya moja ya Barabara iliyokuwa kwenye matengenezo kukatika katika mji wa Belo Horezonte karibu na eneo lenye...
View Article*MCHEKI NEYMAR ALIPOUMIA MGONGO HUKU BRAZIL IKISONGA KWA KUICHAPA COLOMBIA...
Neymar akionekana kuwa na maumivu makali akiwa amebebwa kutolewa uwanjani baada ya kuumia wakati wa mchezo wa Robo Fainali kati ya timu yake na Colombia uliochezwa jana usiku, Brazil ilishinda mabao...
View Article*WAZIRI MEMBE AMTEMBELEA KADINALI PENGO NYUMBANI KWAKE KURASINI DAR LEO
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard K. Membe, akizungumza na Polycarp Cardinal Pengo, wakati alipokwenda kumtembelea nyumbani kwake Kurasini jijini Dar es Salaam leo. Membe...
View Article*ACCESS BANK YAWAKARIBISHA MPATE HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA...
 Wafanyakazi wa Access Benki wakitoa maelekezo kwa mteja aliyetembelea katika banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika...
View Article*YALIYOJIRI KWENYE ONYESHO LA MUZIKI WA SAMBA REGGE NA SAKARASI LILILOFAYIKA...
Baadhi ya Watoto wakionyesha ujuzi wa kucheza sarakasi kwenye uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge iliyoandaiwa na kituo cha...
View Article*MBUNGE WA VITI MAALUM ZAINABU VULLU ATOA MSAADA WA MASHINE YA KUFULIA KATIKA...
 Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Pwani, Zainabu Matitu Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani,Dk. Happiness Ndossi baada ya kukabidhi mashine ya kufuria nguo za wagonjwa,...
View Article*FULL MATUKIO KATIKA PICHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA...
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiagana na Rais wa Malawi, Profesa Arthur Peter Mutharika, baada ya shughuli za maadhimisho ya Sherehe ya miaka 50 ya...
View Article*MAMIA WAJITOKEZA KUSHUHUDIA NA KUPATA UKWELI JUU YA MCHANGA WA DHAHABU
 Watumishi wa TMAA wakiwa tayari kuwaelimisha na kuwahudumia wananchi waliotembelea Banda lao kwenye viwanja vya Saba Saba. Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la TMAA wakishuhudia mchanga wa...
View Article*RIDHIWANI KIKWETE AANZA UTEKELEZAJI WA ILAN YA CHAMA CHAKE CHA CCM KATIKA...
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw. Ahmed Nasser wakiwa wamelala kwenye moja ya vitanda Vitanda 267 vilivyotolewa na mbunge huyo katika shule mbalimbali za...
View Article*RAIS KIKWETE AWA KIVUTIO MAONYESHO YA SABASABA, WANANCHI WASITISHA SHOPING...
Baadhi ya Wananchi wakisongamana kumpa mkono Rais Kikwete, wakati akiwa katika viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam, jana.Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014...
View Article*JERRY SLAA KUKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WA BANDA LA MeTL SABASABA
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa.Na Mwandishi Wetu, DarWATEJA wanaotembelea banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea...
View Article*DIAMOND PLATNUMZ ATINGA MDANI YA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO
Mashabiki wa Diamond Platnumz wakipata nae picha ya pamoja na Rais huyo wa Wasafi alipokuwa akiwasili kwenye mji wa Olathe jimbo la Kansas ilipo Radio hiyo ya GENN kwa mahajiano kabla ya show yake...
View Article