*BENKI YA NBC YAFUTURU NA WATEJA WAKE HOTELI YA SERENA JIJINI DAR
Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akipokewa na Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC Tanzania, William Kallaghe na Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Mussa Assad (kulia) alipoalikwa kama...
View Article*DIAMOND PLATNUMZ AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI
Diamond Platnumz akiendelea na makamuzi ndani huku akiwa amezungukwa na mashabiki wa Kansas City na wenggine wakiwa wamesafiri kutoka majimbo ya jirani.Mashabiki wa Diamond Platnumz wakicheza pamoja...
View Article*WANAHABARI: ANDIKENI HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI
Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya...
View Article*MAHAFALI YA SHULE YA AWALI YA OJAYS KIDDIES ZONE YAFANA
Watoto wa shule ya Ojays Kiddies Zone iliyopo maeneo ya Kinondoni Block 41, wakiwa kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kwa mahafali ya Kaka na Dada zao wa Laura Class kuanzia miaka 4-5...
View Article*AIPS YAANDAA MAFUNZO KWA WANAHABARI CHIPUKIZI
Habari wadau, Chama cha Kimataifa cha Waandishi wa Habari za Michezo (AIPS), kimeandaa mafunzo kwa ajili ya waandishi wa habari za michezo chipukizi wa umri kati ya miaka 19-25 yatakayofanyika Doha...
View Article*LIVE KUTOKA BRAZIL, UJERUMAN INAONGOZA 4-0 DHIDI YA BRAZIL
BAO LA KWANZA DK YA 11, THOMAS MULLER, LA PILI DK YA 22, KLOSE, LA TATU DK YA 24 NA LA NNE DK YA 25. BADO NI KIPINDI CHA KWANZA.
View Article* DAKIKA YA 29 UJERUMAN WANAANDIKA BAO LA TANO
SAMI KHEDIA, ANAIPATIA UJERUMAN BAO LA TANO, UJERUMAN 5- BRAZIL 0.
View Article*THOMAS MULLER ANAIPATIA UJERUMAN BAO LA 6
DAKIKA YA 59, THOMAS MULLER ANAANDIKA BAO LA SITA. BRAZIL 0- UJERUMAN 6.
View Article*ANDRE ANAIPATIA UJERUMAN BAO LA 7
DAKIKA YA 76, UJERUMAN BAO LA 7 KUPITIA KWA ANDRE. UJERUMAN 7- BRAZIL 0.
View Article*UJERUMAN YATANGULIA FAINALI KWA KUWABANJUA BRAZIL MABAO 7-1
DAKIKA YA 90 OSCAR ANAIPATIA BRAZIL BAO LA KUFUTIA MACHOZI. BRAZIL 1- UJERUMAN 7 NA MPIRA UMEKWISHA NA SASA UJERUMAN YATANGULIA FAINALI KUSUBIRI MSHINDI KATI YA ARGENTINA NA UHOLANZI.
View Article*SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI, ANNE MAKINDA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA...
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi...
View Article*HIKI NI KITUKO CHA MWAKA, BINTI KAKUTWA KAUCHAPA USINGIZI NDANI YA SANDUKU...
Kwa haraka unaweza usiamini macho yako na hata ukibidi unaweza kuomba maji unawe uso ili uweze kuyaamini macho yako kile kinachoonekana mbele yako kama hivi.Lakini baada ya kuamini macho yako bado...
View Article*TAIFA STARS YAINGIA KAMBINI TUKUYU KUJIANDAA KUIKABILI MSUMBIJI
Wakati Taifa Stars inaingia kambini Tukuyu mkoani Mbeya kesho (Julai 9 mwaka huu), kocha Mart Nooij amesema kambi ya wiki mbili nchini Botswana imekisaidia kikosi chake kujiandaa kwa ajili ya mechi...
View Article*MFUMUKO WA BEI NCHINI UMEPUNGUA - OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi Bw. Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu kupungua kwa mfumuko wa bei...
View Article*DKT SHEIN AFUTARISHA WANANCHI KASKAZINI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) akiwakaribisha Mashekhe katika futari aliyoiandaa kwa Wananchi waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa...
View Article*WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII AZINDUA NEMBO MPYA YA AMREF HEALTH AFRICA...
Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania Dr. Festus Ilako (wa kwanza Kushoto) Akimkaribisha Waziri wa Afya Dr. Seleman Seif Rashid kuzindua Nembo Mpya.Waziri wa Afya, Mwenyekiti wa bodi ya kimataifa...
View Article*DIWANI WA TLP LUPINGU ASEMA YEYE SI MPINZANI ,AMFAGILIA MBUNGE FILIKUNJOMBE...
Diwani wa kata ya Lupingu wilaya ya Ludewa John Kiowi kulia akiwa amevalia sare za CCM huku akieleza imani yake kwa mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe katika kuwatumikia wananchi wa...
View Article*NI USIKU WA UHOLANZI NA ARGENTINA MTANANGE KUANZA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA
KAA TAYARI KUPATA MSTOKEO LIVE YA MTANANGE NUSU FAINALI KATI YA ARGENTINA.NA UHOLANZI.
View Article*KOMBE LA DUNIA FAINALI NI ARGENTINA vs UJERUMANI
DAKIKA 120 ZA MCHEZO WA NUSU FAINALI KATI YA ARGENTINA NA UHOLANZI ZIMEMALIZIKA BILA KUPATIKANA MBABE NA KUFIKIA HATUA YA MATUTA. KATIKA HATUA HIYO ARGENTINA WAMEJIKATIA TIKETI YA KUTINGA FAINALI HIZO...
View Article