DAKIKA 120 ZA MCHEZO WA NUSU FAINALI KATI YA ARGENTINA NA UHOLANZI ZIMEMALIZIKA BILA KUPATIKANA MBABE NA KUFIKIA HATUA YA MATUTA. KATIKA HATUA HIYO ARGENTINA WAMEJIKATIA TIKETI YA KUTINGA FAINALI HIZO BAADA YA KUIBANJUA UHOLANZI KWA MIKWAJU 4-2, AMBAPO SASA ARGENTINA ITAKUTANA NA UJERUMAN KATIKA FAINALI HIZO, HUKU UHOLANZI WAKIKUTANA NA BRAZIL KATIKA KUWANIA NAFASI YA TATU.
↧