Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' (katikati) akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo (kushoto) na Thomas Mashali, baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupambana Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati wa tamasha la usiku wa matumaini lililoandaliwa na kampuni ya Global Publisher.
↧