*GARI AINA YA FORD EXPEDITION V8 INAUZWA
 MAKER: FORDMODEL: FORD EXPEDITION V8YoM: 2000CC: 5400COLOR: SILVERMAWASILIANO: 0713327106/0756673327
View Article*UNESCO NA KOICA ZASAIDIA MAISHA ENDELEVU USAMABARA MASHARIKI
Dar es Salaam Julai 11, 2014 Jamii zinazoishi katika Hifadhi Bioanuwai ya Milima ya Usambara Mashariki zinatarajiwa kukuza uwezo wao wa kutumia rasilimali zao za asili kwa njia endelevu. Kupitia mradi...
View Article*MGOMBEA WA URAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA ZANZIBAR,AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE...
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akimkaribisha Mheshimiwa Filipe Nyusi Mgombea wa nafasi ya Urais kutoka chama cha FRELIMO Msumbiji Wanachama wa FRELIMO wanaoishi Zanzibar...
View Article*MTEMVU ATOA MSAADA WA TANI TANO ZA VYAKULA KWA VIKUNDI VYA WASIO NA UWEZO...
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam, wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo...
View Article*RAIS KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WAWAUNGANISHA WAUZA SAMAKI WA PANGANI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakinunua samaki katika kibanda huko Bweni Wilaya ya Pangani juzi wakati Rais alipokwenda kuzindua mradi wa maji na kuweka jiwe la msingi...
View Article*KUWAONA SERENGETI BOYS NA AFRIKAYA KUSINI KIINGILIO NI BUKU 2,000/- TU
Mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 kati ya Tanzania (Serengeti Boys) na Afrika Kusini (Amajimbos) itachezwa kwa kiingilio cha sh....
View Article*RAIS KIKWETE AVUKA MTO PANGANI
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiangalia mandhari ya mji wa Pangani wakati wa ziara ya kikazi wilayani humo.Sehemu kubwa ya mji huo imo katika hatari ya kumezwa na bahari...
View Article*RAIS KIKWETE MGENI RASMI SHEREHE ZA MIAKA 75 YA KANISA LA TAG JIJINI MBEYA LEO
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi kwenye kilele cha Sherehe za Miaka 78 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God  katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai...
View Article*THOMAS MASHALI, MADA MAUGO WASAINI MKATABA KUZICHAPA NANE NANE UWANJA WA TAIFA
Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' (katikati) akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo (kushoto) na Thomas Mashali, Â baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupambana Sikukuu ya Nanenane...
View Article*LINE UP MTANANGE KATI YA ARGENTINA vs GERMANY KUCHEKI LIVE FUATA MAELEKEZO...
GERMANY VS ARGENTINAKUANGALIA MTANANGE HUU LIVE MTANDAONI BOFYA HAPAEstádio Maracanã, Rio de JaneirovsGermanyArgentinaTimelineMatch statsLineups1M. Neuer(G)(G)S. Romero116P. Lahm(D)(D)Zabaleta45M....
View Article*FAINALI KOMBE LA DUNIA GERMANY v/s ARGENTINA NI MAPUMZIKO BADO 0-0
MCHEZO WA FAINALI KOMBE LA DUNIA KATI YA GERMANY NA ARGENTINA HIVI SASA NI MAPUMZIKO BADO HAKUNA MBABE BADO NI 0-0.
View Article*DAKIKA YA 22 ZA NYONGEZA GERMANY WANAPATA BAO
DAKIKA YA 112 GERMANY WANAPATA BAO LILILOFUNGWA NAÂ MARIO GOETZE. GERMAN 1-0 ARGENTINAÂ
View Article*DAKIKA 120 ZIMEMALIZIKA KWA GERMANY KUTWAA KOMBE LA DUNIA 2014
MBABE WA KOMBE LADUNIA 2014 NI GERMANY BAADA YA KUWAADHIBU ARGENTINA KWA BAO 1-0 KATIKA DAKIKA 120, BAO LILILOFUNGWA NA MARIO GOETZE.
View Article*SHAKIRA, WYCLEF WALIVYOWASINDIKIZA GERMANY KUTWAA KOMBE LA DUNIA 2014 JANA...
Mshambuliaji wa German Mario Goetze (kushoto) akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake dhidi ya Argentina, katika dakika za nyongeza fainali za Kombe la Dunia jana usiku. German ilishinda bao...
View Article*WAKALI SAMATTA NA ULIMWENGU,KUTUA NCHINI KESHO KUWAKABILI MSUMBIJI
Washambuliaji wa Kimataifa, Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata wanaokipiga Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanawasili nchini kesho alfajiri (Julai 16 mwaka huu) kwa ajili ya...
View Article*TBC WAJIPONGEZA DAR BAADA YA KUMALIZIKA KWA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai...
View Article*MRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA
Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, (kulia) akisalimiana na Mtendaji wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Gosbert...
View Article*MABONDIA WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA DARA
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati) akiwainuwa mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa pambano lao linalotarajia kufanyika jijini Dar es...
View Article*NAIBU WAZIRI WA MAJI, AMOS MAKALLA AWANASA WEZI WA MAJI DAR NA KUTANGAZA...
Meneja Mkuu wa Kampuni ya ufyatuaji matofali ya Ujenzi Solutions, ya Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, Rahim Hamis na mfanyabiashara wa kampuni isiyo na jina, Credo Rajab (kulia) wakiwa chini ya...
View Article