Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*FIFA KUWANOA WAAMUZI 30 DAR

Semina na mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness test) kwa waamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na baadhi ya wale wa daraja la kwanza wenye kiwango cha juu (elite)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAAMUZI WA MECHI YA SERENGETI BOYS WAWASILI DAR

Waamuzi wa mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 kati ya Tanzania (Serengeti Boys) na Afrika Kusini (Amajimbos) wanawasili leo (Julai 15 mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMPUNI YA SHIJA PROMOTIONS KUANDAA PAMBANO LA KICK BOXER LA KIMATAIFA DAR

''HIVI KARIBUNI  NILIKUWA NCHINI SAPIN KATIKA SEMINA YA MUAY-THAI katika GYM INTERNATIONAL RAM MUAY CHINI YA CHAMA WORLD FEDERATION  THAI-BOXING CHA SPAIN PRESIDENT JOSE COSSA.  MWAKA HUU WAPIGANAJI WA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BALOZI MATHEW AAGANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi  wa Tanzania Nchini  Urusi  Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais leo Ikulu Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ALIPOFUTARISHA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA JANA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na waislamu na Viongozi katika swala ya Magharibi katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Mkokotoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MSHAMBULIAJI WA BRAZIL SANTOS ATUA KUJIUNGA NA MWENZIE COTINHO KUIPA MAKALI...

 Mshambuliaji mpya Yanga, Geilson Santana Santos ‘Jaja’ (kulia) akipunga mkono kuwasalimia mashabiki wa Yanga waliokuwepo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana wakati alipowasili akitokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MADUKA MATATU NA NYUMBA MOJA VILIVYOTEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA JANA

 Moshi ukiwa unazidi katika eneo ambalo maduka matatu yameteketea kwa moto. Mashuhuda wakiwa wameanza kuelekea eneo la tukio Moto ukiwa unaanza kupamba moto, waya wa umeme unao onekana unashuka chini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WACHEZAJI WA YANGA KUNUFAIKA NA MRADI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU ZA NSSF KIGAMBONI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza na Wachezaji wa Timu ya Yanga wakati wa mkutano wao wa kuzungumzia umuhimu kwa wachezaji hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASANII KUTOKA MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia simu yake ya mkononi kuwaonesha vivutio vya kitalii wasanii nyota wa muziki na filamu wa Kimarekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA MTEMVU JIJINI DAR

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu alipowasili, kwenye futari iliyoandaliwa na mbunge huyo Julai 15, 2014, kwenye hoteli ya City Garden, Railyway...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAFUASI WA CCM,CHADEMA NUSURA WAZICHAPE KAVU KAVU MKUTANO WA NAIBU WAZIRI WA...

 Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan wa CCM (kulia), akiamulia ugomvi wa Diwani wa Kimara, Pascal Manota wa Chadema (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge waliotaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SAMATA, ULIMWENGU WATUA, NCHINI KUISAPOTI STARS, MWINYI KAZIMOTO KESHO

Wachezaji wa Kimataifa wa timu ya Taifa Stars, Thomas Ulimwengu (kushoto) na Mbwana Samatta, wakiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana usiku tayari kujiunga na Timu ya Taifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TIMU YA AFRIKA YA KUSINI YAWASILI NCHINI KUIVAA SERENGETI BOYS JULAI 18

Kikosi cha Serengeti Boys.Afrika Kusini (Amajimbos) imewasili nchini kuikabili Tanzania (Serengeti Boys) katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ATANGAZA RASMI VIPAUMBELE KATIKA UCHAGUZI WA URAIS TUCTA

Taarifa kwa vyombo vya habariImetolewa leo tarehe 16 Julai 2014Na Dismas LyassaMgombea Urais wa TUCTA; Shirikisho la Vyama vya WafanyakaziSalaamWapendwa ndugu zangu wana habari…Asalam Aleikum…Tumsifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAPAMBANO YA KUKATA NA SHOKA USIKU WA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA

NI MAPAMBANO YA KUKATA NA SHOKA USIKU WA MATUMAINI.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AANDAA FUTARI KWA WADAU WA SOKA LEO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameandaa futari leo (Julai 17 mwaka huu) kwa wadau mbalimbali wa mpira wa miguu. Shughuli hiyo itafanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UN-NELSON MANDELA INTERNATIONAL DAY MEDIA ADVISORY

The South African High Commission in conjunction with the United Nations Information Centre Invites you join in commemorating  NELSON MANDELA INTERNATIONAL DAYFriday, 18th July, 2014Sinza Special needs...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, KATIBU MKUU KIONGOZI...

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jijini Dar es salaam jana. PICHA NA IKULUKatibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMATI KUU YA CCM YAMTEUA PHILIPO MANGULA KUONGOZA TIMU YA KUANDAA ILANI YA...

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  kwa kuhudhuria katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014.Rais Jakaya...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>