*WAZIRI MAKALLA AONDOLEWA CHINI YA ULINZI WA POLISI BAADA YA MKUTANO...
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (katikati), akiongozwa polisi kuingia kwenye gari baada ya kutokea vurugu meza kuu, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Goba, Kinondoni Dar es Salaam,...
View Article*NI LINI MCHEZO WA PIKIPIKI 'RIDER' UTATHAMINIKA???? WAZIRI WA MICHEZO TOLEA...
Ni mchezo wa hatari na unaotia woga kama hujawahi kuendesha Pikipiki unapoona wakikimbizana na kupitana katika kona kali na kuruka matuta huku wakionyesha mbwembwe kibao wakiwa kwenye mwendo mkali....
View Article*MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIAACSEE 2014 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MOREP0101 AZANIA CENTREP0104 BWIRU BOYS CENTREP0110 ILBORU CENTREP0112 IYUNGA CENTREP0116...
View Article*CCM YAPOKEA TAARIFA YA KIKAO CHA MZUNGUMZO KATI YAO, CUF, CHADEMA NA NCCRA...
Jana tarehe 16/07/2014 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ilifanya kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es salaam. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.Pamoja...
View Article*RAIS KIKWETE AELEKEA RUVUMA KWA ZIARA YA KIKAZI YA WIKI MOJA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamishna wa Polisi Msaidizi Mwandamizi (SACP) Mary Nzuki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
View Article*TAIFA STARS YAREJEA DAR, KAZIMOTO NDANI TAYARI KUWAKABILI MSUMBIJI, KESHO...
Kikosi cha Taifa Stars kimerejea jijini Dar es Salaam leo kutoka Mbeya ambapo Jumapili (Julai 20 mwaka huu) kitapambana na Msumbiji (Mambas) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Benchi la Ufundi la...
View Article*SERENGETI BOYS MORALI JUU KUWASUBIRI AFRIKA YA KUSINI
Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Hababuu Ali Omari amesema morali ya wachezaji wake ipo juu kwa ajili ya mechi dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos) itakayochezwa kesho (Julai 18 mwaka huu).Mechi hiyo ya...
View Article*MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA
Swali kwa TPDC: Kwanini Makubaliano ni tofauti na Mkataba Elekezi (Model PSA)?Baada ya kuvuja kwa Mkataba wa kutafuta na kuzalisha Gesi Asilia (PSA) kati ya Serikali kupitia TPDC na Kampuni ya Norway...
View Article*TIMU YA TAIFA YA MSUMBIJI KUWASILI NCHINI TUA MCHANA HUU
Timu ya Taifa ya Msumbiji (Mambas) inawasili Dar es Salaam kesho (Julai 18 mwaka huu) kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumapili, Uwanja wa Taifa, Dar es...
View Article*RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC SONGEA LEO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC huko Mkuzo, wilayani Songea mjini mkoani Ruvuma leo. Kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama...
View Article*RAIS KIKWETE AFUNGUA OFISI ZA TAKUKURU MKOA WA RUVUMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Ruvuma jana mjini Songea. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na kaimu Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Bibi...
View Article*HIZI NDIZO SERA ZA LIBERATUS MWANG'OMBE KUHUSU DARASA LA KISWAHILI
Wanasema kwamba eti Tamko juu ya tuhuma za mgombea wakiti cha urais Bwana Liberatus Mwangombe kuhusu darasa la kiswahili. SWALI: Jee hizi ndio tuhuma za kulishutumu Darasa la kiswahili alizotuhumu...
View Article*WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA MHE. AHMED ISSA, BEVERLY HILLS,...
Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mapama leo mazungumuzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana...
View Article*WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge...
View Article*MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA KUTIMIZA AHADI ZAKE JIMBO LA CHALINZE,...
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akizungumza na uongozi wa polisi Mkoa wa Pwani na Wilaya ya Kipolisi ya Chalinze pamoja na wananchi waliojitokeza katika hafla ya makabidhiano ya vifaa...
View Article*KUWAONA STARS, MSUMBIJI KIINGILIO BUKU 7,000/- VITI MAALUM (VIP) 30,000/-
Viingilio kwa mechi ya Taifa Stars na Msumbiji itakayochezwa keshokutwa (Jumapili) Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ni sh. 7,000 na sh. 30,000 kwa viti maalumu 4,500 tu.Kuanzia kesho asubuhi...
View Article*MAMA ASHA BALOZI AFUTARISHA WA MADRASAT HIDAYATUL ISLAMIA YA KIDOTI ZANZIBAR
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar mama Asha Suleiman Iddi akijumuika pamoja na wana Madrasa ya Hidayatul Islamia ya Kidoti hawapo pichani kwenye futari ya pamoja ndani ya mfungo wa mwezi...
View Article*NAIBU WAZIRI ANGELLA KAIRUKI AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU ZIARA YAKE
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kutoa maelezo ya majumisho ya ziara yake ya siku tano ya kuzitembelea Taasisi zinazotoa Huduma ya Msaada wa...
View Article