*YANGA WAENDELEA KUJIFUA UFUKWENI
Wachezaji wa timu ya Yanga, wakiwa katika mazoezi ya pamoja kwenye ufukwe wa coco beach eneo la gymkhana chini ya mwalimu wao Marcio Maximo jioni hii. Kwa matukio mengine ya picha za mazoezi hayo...
View Article*NDEGE NDOGO YATUA BARABARA KWA DHARURA NCHINI UGANDA
Ndege ndogo ikiwa imebeba wafanyakazi wa jeshi la Marekani imetua kwa dhalura katikati ya barabara nchini Uganda baada ya kuishiwa mafuta. Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda, Philip Mukasa,...
View Article*BARAZA LA HABARI WAMUAGA BALOZI WA NORWAY
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ndugu Kajubi Mukajanga akizungumza wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza...
View Article*JUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KOICA/KAAT) YAPATA UONGOZI MPYA
Rais Mpya wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea (KAAT), Bw. Stephen Katemba (Kulia) akizungumza mara baada ya kuchaguliwa. Anayemsikiliza ni Mwakilishi Mkazi wa KOICA, Bw. Seung-Beom Kim (Kushoto)....
View Article*WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS, WALIPOPATA MCHECHECTO JANA...
Baadhi ya washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa mbele ya Majaji tayari kwa kupewa maoni yao na hatimaye kutaja watakaotoka chomwa na jua la utosi kwa Wiki hii. Kutoka...
View Article*RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI UJENZI WA BARABARA YA KL 78 YA PERAMIHO-MBINGA NA...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuashiria kuweka rasmi jiwe la Msingi na kuzindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma jana.Rais Kikwete yupo mkoani Ruvuma Katika ziara...
View Article*KAMPUNI YA MONTAGE YAFUTARISHA WAOTO YATIMA WA KITUO CHA SOS VILLAGE
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Montage ya jijini Dar es salaam akiwagawia watoto yatima wa kituo cha kulelea watoto cha SOS Village kikilchoko Sinza barabara ya Sam Nujoma alipowakaribisha kwa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA MASHINDANO YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi Tuzo za washindi wa mashindano ya kuhifadhi qur-aan, yaliyofanyika leo...
View Article*TAIFA STARS YASHINDWA KUMTAFUNA MAMBAZ NYUMBANI YALAZIMISHWA SARE YA MABAO...
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta (wapili kushoto) akiwachachafya mabeki wa Msumbiji wakati wa mchezo wa kuwania tiketi ya Fainali za Afrika zinazotarajia...
View Article*KOZI YA UKOCHA LESENI A SASA KUFANYIKA AGOSTI
Kocha ya ukocha wa mpira wa miguu ya leseni A inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) iliyokuwa ianze kesho (Julai 21 mwaka huu) jijini Dar es Salaam sasa itafanyika mwezi...
View Article*BALOZI IDDI AWAHAKIKISHIA WANA CCM NA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA...
Baadhi ya Akina Mama wa Kijiji cha Mvuleni Kidoti wakitoka ndani ya pango kujipatia huduma za maji safi wakishuhudiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Balozi Seif...
View Article*TANGAZO LA FB ME BANK
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kukanusha habari zinazosambazwa kwenye mitandao kuwa kesho Jumatatu Benki ya FBME itafungwa na shughuli zote za benki hiyo zitakuwa chini ya Benki Kuu.Habari hizi si za...
View Article*WAZIRI DK. KAMANI ATEMA CHECHE BUSEGA
NA MWANDISHI WETU, BUSEGAMWENYEKITI wa CCM mkoani Simiyu, Dk. Titus Kamani, amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo Madiwani, Makatibu wa Chama na Jumuia zake, kujiwekea ratiba ya kutembelea...
View Article*TAARIFA YA MSIBA WA MTOTO WA MICHAEL MACHELLAH
Pichani ni mtoto wa mpiganaji Michael Machellah, Everlyne Michael Machellah (1) aliyefariki jana katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na...
View Article*RAIS KIKWETE AKAGUA KILIMO CHA KAHAWA MBINGA LEO.
Meneja wa Shamba la Kahawa la AVIV Farm linalomilikiwa na kampuni ya Olam Bwana Medappa Ganapati akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mche bora wa kahawa iliyozaa vyema wakati Rais...
View Article*MREMBO BORA WA KANDA YA MASHARIKI KUPATIKANA AGOSTI 8 MJINI MOROGORO
Baadhi ya warembo washiriki wa shindano la Miss Kanda Mashariki wakiwa katika pozi,wakati wa mazoezi yao ya maandalizi.Na Mwandishi WetuMashindano ya kumsaka mrembo kanda ya Mashariki ( Redds Miss...
View Article*RAIS KIKWETE AZINDUA KITUO CHA AFYA CHA GEREZA LA KITAI MBINGA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi kituo cha afya katika Gereza la Kitai wilayani Mbinga jana.Kushoto ni Mkuu wa Gereza hilo Alexander Richard Nyefwe.Kituo hicho kitatoa huduma...
View Article*TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) : NANI KUCHOMWA NA JUA LA UTOSI WIKI HII? HAWA...
ILI KUWANUSURU AU KUMNUSURU MSHIRIKI UMPENDAE AENDELEE KUWEPO NDANI YA NYUMBA YA TMT UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUMPIGIA KURA KWA WINGI SANA.JINSI YA KUPIGA KURA NI ANDIKA NENO "TMT" ikifuatiwa na namba...
View Article*MAKAMU MKUU WA MUHAS AONGOZA KUAAGA MWILI WA PROFESA MBWAMBO
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, (MUHAS) Profesa Ephata Kaaya akiuaga mwili wa Mhadhiri wa wa chuo hicho marehemu, Profesa Zakaria Mbwambo , ambaye ni mume...
View Article*BREAKING NEEEEEWZZZZZ!!!!!!!!!,MADEREVA WA BODABODA WA BUNJU WAKAMATA GARI...
Habari zilizoufikia mtanda huu, usiku huu zinasema kuwa Madereva wa Bodaboda wa maeneo ya Bunju usiku huu wamefanikiwa kukamata gari aina ya Suzuki Cary, likiwa limebeba jumla ya miili ya watu 20, na...
View Article