Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PPF YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akipakua chakula wakati  futari iliyoandaliwa na ofisi yake katika hoteli ya serena leoBaadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAARIFA MPYA KUHUSU GARI LILILOKAMATWA LIKIWA NA MIILI YA BINADAMU HUKO...

 Hili ndilo gari lililokamatwa jana usiku likiwa na miili ya watu iliyoelezwa idadi yake kuwa ni 20, ikiwa vipande vipande ikiwa haina ngozi, wakati likienda kumwaga katika Dampo huko maeneo ya Bunju....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAHANDISI TANESCO WAFUNDWA UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO

 Msimamizi wa  mafunzo hayo Meneja wa Kitengo cha Usalama Kazini ambao ndio waandaji Mhandisi Majige Mabulla akiwakaribisha washiriki na kuelezea namna ambavyo mafunzo hayo yataendeshwa kwa nadharia na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI BARABARA YA WILAYANI NAMTUMBO

 Rais Kikwete akizungumza na wananchi wa Namtumbo wakati akielekea kuzindua Barabara hiyo mpya. Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za millennia(Millenium Challenge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*JE UNGEPENDA KUHUDHURIA SHOW YA MTOANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT)? BASI...

Je Ungependa Kuja Kushuhudia ni Nani na Nani leo Wanachomwa na Jua la Utosi na kupelekea Kuaga shindano la Tanzania Movie Talents? (TMT)  Basi Usisite Kuja Katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa karibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CECAFA KAGAME CUP 2014 9TH – 25TH AUGUST 2014 – RWANDA FIXTURE, YANGA KUANZA...

CECAFA KAGAME CUP 20149TH– 25TH AUGUST 2014 – RWANDAFIXTUREGROUP A                                             GROUP B                                                             GROUP CRAYON FC (RWA)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS,KAZI MAALUM ,PROFESA MARK MWANDOSYA AFANYA...

Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA)  Dkt.  james Diu (Kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya  wakati alipotembelea Makao makuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BAADA YA SARE NA MSUMBIJI, TAIFA STARS KUREJEA KUPIGA KAMBI MBEYA

Kikosi cha Taifa Stars kinatarajia kuondoka keshokutwa (Julai 24 mwaka huu) kwenda Mbeya ambapo kitapiga kambi ya wiki moja kujiandaa kwa mechi ya marudiano dhidi ya Msumbiji.Mechi hiyo ya raundi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MUDA WA USAJILI LIGI KUU BARA WAONGEZWA KWA WIKI MBILI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeongeza muda wa usajili kwa wiki mbili ili kuzipa klabu nafasi ya kukamilisha taratibu zinazotakiwa. Hivyo hatua ya kwanza ya usajili inakamilika Agosti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA ZIARANI NAMTUMBO LEO

 Mtoto Gloria Fusi mwenye umri wa miaka saba anayesoma darasa la kwanza katika shule ya msingi Utwango wilayani Namtumbo akiandika jina lake katika Notebook ya Mama Salma Kikwete wakati Rais Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*DIVER ENCOUNTERS GIANT 20-FOOT, GREEN ANACONDA IN BRAZILIAN RIVER

 Boy Saved from Giant Anaconda in BrazilThe kid was rushed to the hospital and needed 21 stitches in his chest but no bones were broken and the boy lived to tell the this amazing tale.While diving deep...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WATU NANE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUTUPA VIUNGO VYA BINADAMU KAMA...

  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA PRESS RELEASE22/07/2014 WATU WANANE WAKIWEMO MADAKTARI WASHIKILIWA NAKUHOJIWA NA JESHI LA POLISI KUTOKANA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*APIGWA SHOKA LA KICHWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU

Baada ya madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa huyu mkazi wa Mwanza, aliye fumaniwa na kupigwa Shoka ya Kichwa akiwa na mke wa mtu, hatimaye wamefankiwa kuchomoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AFUNGUA NYUMBA ZA WATUMISHI WA AFYA MATEMANGA- TUNDURU

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua mradi wa nyumba za watumishi wa afya zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa Foundation katika hafla iiyofanyika katika kijiji cha Matemanga wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa, Jana amefanya ziara fupi ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya ukonga Moshibar kilometa 3 kiwango cha changalawe awamu yakwanza. Ikiwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SASA UNAWEZA KUWAPIGIA KURA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS...

KAMA BADO HUJALIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KULIKE UKURASA WETU KWA KUFUATA KIUNGANISHI HIKIhttps://www.facebook.com/tztmt ukishalike ukurasa wetu fuata hatua hizo chini Ukurasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MISS KANDA YA MASHARIKI VIPAJI KUFANYIKA SIKUKUU YA IDI PILI KIBAHA

Na Mwandishi WetuWarembo 14 wanaowania taji la Kanda ya Mashariki ( Miss Eastern Zone 2014) watashindania taji la vipaji (talent award) lililopangwa kufanyika siku ya Idd Pili kwenye ukumbi wa Maisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*LOGARUSIC AMWAGA WINO KUIFUNDISHA SIMBA NA TIMU YA VIAJANA MWAKA MMOJA

Kocha wa klabu wa Simba, Zdravko Logarusic (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo  Geoffrey Nyange 'Kaburu' wakisainiana hati za mkataba wa mwaka mmoja wa kocha huyo kuifundisha timu ya Saimaba,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TOFAUTI ZA KIDINI ZISIWAGAWE WATANZANIA –MWINYI.

 Baadhi  watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya kulelea watoto hao vya jiji la Dar es salaam wakijumuika pamoja katika Futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki. Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MKUTANO WA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA BRN WAFUNGULIWA JIJINI DAR LEO

   Gavana wa Benki Kuuya Tanzania,  Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo julai...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>