*RAIS JAKAYA KIKWETE MGENI RASMI SIKU YA MASHUJAA.
Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa katika mazoezi katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya sherehe za Kumbukumbu...
View Article*BONDIA IBRAHIMU MAOKOLA AJIFUA KUMKABIRI SELEMANI MKALAKAL AGOSTI 9
Bondia Ibrahimu Maokola (kushoto) akipiga beg kubwa huku akisimamiwa na Athumani Magambo, wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na pambano lake na Selemani Mkalakali, linalotarajia kufanyika Agost 9...
View Article*RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO
Baadhi ya wananchi wa Bagamoyo wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 45 WA CPA JIJINI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wajumbe wa Chama cha Wabunge kutoka nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa...
View Article*TWANGA PEPETA KUWATAMBULISHA WAPYA WALIOTOKA BENDI ZA EXTRA BONGO NA MALAIKA...
Baadhi ya wanenguaji wa Twanga Pepeta, wakiwa kwenye mazoezi ya pamoja kujiandaa na onesho hilo la utambulisho wa wanamuziki na wanenguaji wapya waliojiunga utoka bendi za Extra Bongo na...
View Article*RATIBA YA MABONDIA WA TANZANIA WANAOWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA...
BOXING FEDERATION OF TANZANIA (BFT)SHIRIKISHO LA NGUMI TANZANIA Yah:- RATIBA YA MABONDIA WA TANZANIA WANAOWAKILISHA TAIFA KATIKA...
View Article*ELIMU DUNI NA ISIYO SAHIHI YA MATUMIZI YA KONDOMU INACHANGIA MAAMBUKIZI...
Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akizungumza na washauri wa Vikundi vya Vijana wasikilizaji juu ya masuala muhimu kuhusiana na kuzuia maambukizi ya VVU na...
View Article*WIMBO MPYA WA BARNABA, AMINI, DYNA NA MR. BLUE-DEREVA MAKINI
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Banaba Boy na Dyna Nyange wamerekodi wimbo wa pamoja kuhamasisha uzingatiaji wa usalama...
View Article*KIPINDI CHA “MIMI NA TANZANIA” CHAVUKA MIPAKA YA TANZANIA, CHATUA JIJI LA...
Pichani ni Mtangazaji anayeongoza Kipindi cha 'Mimi na Tanzania' Hoyce Temu aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 akiwa nje ya Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani mara baada ya kuwasili...
View Article*JUMUIYA YA WAISLAM WA JUMBA NAMBA 8 NGAZI NNE MECHANZANI ZANZIBAR...
Ikiwa kama ada endelevu kila ifikapo mwezi 27 wa mfungo mtukufu wa ramadhani Siku ya Ijumaa July 25, 2014 Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani...
View Article*MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA 'PSPF' WATOA SEMINA KWA WASANII WA...
Mkurugenzi wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Adam Mayingu kushoto akisalimiana na msanii Rose Ndauka wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga...
View Article*KATIBU WA BUNGE MAALUM AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani ) kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel...
View Article*RAIS KIKWETE ATUNUKU WAHITIMU WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA MAHAFALI...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kanali James Ruzibiza Stashahada ya Usalama na Stratejia (Diploma in Security and Strategic Studies) katika mahafali ya Kozi ya Pili ya Chuo Cha...
View Article*MWIGULU NCHEMBA ALIVYOLITEKA JIJI LA MWANZA
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akiwasili kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, kuhutubia mkutano wa hadhara, uliofanyika leo jioni. Katika Mkutano huo,...
View Article*MKUU WA MKOA MOROGORO AONGOZA MAMIA KUMZIKA MKE WA MBUNGE WA JIMBO LA...
Mkuu wa mkoa akimpeleka Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris kupokea mwili wa mpendwa mke wake,kulia ni dada wa mbunge huyo.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Dr Joel Bendera Leo...
View Article*WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AANDAA FUTARI NYUMBANI KWAKE DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es salaam...
View Article*TAMKO LA JUKWAA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA LINALOANZA MJINI DODOMA AGOSTI...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kuhusu Bunge la Katiba litakaloanza...
View Article